MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
Salary Slip pole sana! Najua uliko unatamani kumeza wembe kusikia taarifa hii. Mwezi ujao zinaingia ndege tena mbili CS300 na Dreamliner yetu inaanza kula masafa ya kimataifa! Lazima upate kiharusi awamu hii ya tano!!Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeruhusiwa kurejea katika Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA), ambapo kuanzia sasa litakuwa na uwezo wa kuuza tiketi zake duniani kote.
ATCL iliondolewa IATA miaka tisa iliyopita baada ya kuelemewa na mzigo wa madeni.
Lakini tangu kufufuliwa upya kwa shirika hilo 2016, limekuwa likipambana kutaka kurejea upya katika uanachama ili kuepuka kukosa malipo ya tiketi zao hususan katika safari za kimataifa.
Taarifa ya ATCL iliyotolewa kwa washirika wake Oktoba 24 na kuthibitishwa na mkurugenzi mkuu wa shirika hilo, Ladislaus Matindi jana kwa ujumbe mfupi wa simu kwa Mwananchi inaeleza kuwa, kurejeshwa kwao kumeanza rasmi mwezi huu.
“Tulipata taarifa kutoka IATA kuwa tumerudishwa kwenye mfumo wa malipo wa pamoja (Airlines Clearing House - ACH)), na sasa Air Tanzania imerejea katika mfumo huo na ni mwanachama halali wa shirikisho hilo,” imeeleza sehemu ya barua hiyo iliyosainiwa na mkurugenzi wa Fedha, Albinus Manambu.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa fomu zote za malipo ambayo hayakufanyiwa kazi au kulipwa wakati ATCL ilipoondolewa katika mfumo, zinapaswa kutumwa upya ACH ili ziweze kushughulikiwa.
Akizungumzia kurejea IATA, mkurugenzi wa Biashara wa ATCL, Patrick Ndekana alisema hatua hiyo inarahishisha uhusiano wao na mashirika pamoja na kampuni zingine za ndege katika biashara kwa kuwa wanapenda kushirikiana na watu waliopo IATA.
“Soko letu katika huduma litapanuka zaidi na tutaweza kushindana na kuifanya Dar es Salaam kuwa njia pana ya kuelekea maeneo mbalimbali, sasa tutafahamika kimataifa na tutaweza kuingia makubaliano na mashirika makubwa ya ndege,” alisema Ndekana.
Aliongeza kuwa hatua hiyo ni muhimu kibiashara hususan wakati huu ambao wamelenga kupanua safari zao nje ya mipaka ya Tanzania.
Alisema kutokana na kurejeshwa IATA, hivi sasa abiria anaweza kukata tiketi za ATCL kokote duniani.
Chanzo: Mwananchi
Habari zaidi, soma=>Air Tanzania yaondolewa kwenye mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga(IATA) kwa sababu ya madeni - JamiiForums
Hivi kwanini una akili chafu hiviChadema watanuna na kupinga
nionyeshe hapa jinala ATCL au AirTanzania kwenye hii list ya members wa IATA ili uniaminishe kuwa umerudishwa kundiniATCL iliondolewa IATA miaka tisa iliyopita baada ya kuelemewa na mzigo wa madeni.
“Tulipata taarifa kutoka IATA kuwa tumerudishwa kwenye mfumo wa malipo wa pamoja (Airlines Clearing House - ACH)), na sasa Air Tanzania imerejea katika mfumo huo na ni mwanachama halali wa shirikisho hilo,” imeeleza sehemu ya barua hiyo iliyosainiwa na mkurugenzi wa Fedha, Albinus Manambu.
[/URL]
nionyeshe hapa jinala ATCL au AirTanzania kwenye hii list ya members wa IATA ili uniaminishe kuwa umerudishwa kundini
IATA - Current Airline Members
IATA - Home ich/members* Note on members count: the counter above is updated in real time, showing the exact number of members today. You may see a rounded figure on other pages of this site or in other IATA communications.
inapitia anga lipiSalary Slip pole sana! Najua uliko unatamani kumeza wembe kusikia taarifa hii. Mwezi ujao zinaingia ndege tena mbili CS300 na Dreamliner yetu inaanza kula masafa ya kimataifa! Lazima upate kiharusi awamu hii ya tano!!
@umkhontowesizwenionyeshe hapa jinala ATCL au AirTanzania kwenye hii list ya members wa IATA ili uniaminishe kuwa umerudishwa kundini
IATA - Current Airline Members
Jiwe kalishwa changa la macho na wajanjaAsante mkuu, pia linki imeweka angalizo kuwa wanaonyesha taarifa mpya in real time sasa tangu ATCL watoe taarifa ya jambo hili jipya bado hatuioni ktk list maana yake kuna uwalakini ktk taarifa kwa umma iliyotolewa na ATCL
IATA - Home ich/members
je unaamini ulichoweka hapa kiko sawa?Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeruhusiwa kurejea katika Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA), ambapo kuanzia sasa litakuwa na uwezo wa kuuza tiketi zake duniani kote.
ATCL iliondolewa IATA miaka tisa iliyopita baada ya kuelemewa na mzigo wa madeni.
Lakini tangu kufufuliwa upya kwa shirika hilo 2016, limekuwa likipambana kutaka kurejea upya katika uanachama ili kuepuka kukosa malipo ya tiketi zao hususan katika safari za kimataifa.
Taarifa ya ATCL iliyotolewa kwa washirika wake Oktoba 24 na kuthibitishwa na mkurugenzi mkuu wa shirika hilo, Ladislaus Matindi jana kwa ujumbe mfupi wa simu kwa Mwananchi inaeleza kuwa, kurejeshwa kwao kumeanza rasmi mwezi huu.
“Tulipata taarifa kutoka IATA kuwa tumerudishwa kwenye mfumo wa malipo wa pamoja (Airlines Clearing House - ACH)), na sasa Air Tanzania imerejea katika mfumo huo na ni mwanachama halali wa shirikisho hilo,” imeeleza sehemu ya barua hiyo iliyosainiwa na mkurugenzi wa Fedha, Albinus Manambu.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa fomu zote za malipo ambayo hayakufanyiwa kazi au kulipwa wakati ATCL ilipoondolewa katika mfumo, zinapaswa kutumwa upya ACH ili ziweze kushughulikiwa.
Akizungumzia kurejea IATA, mkurugenzi wa Biashara wa ATCL, Patrick Ndekana alisema hatua hiyo inarahishisha uhusiano wao na mashirika pamoja na kampuni zingine za ndege katika biashara kwa kuwa wanapenda kushirikiana na watu waliopo IATA.
“Soko letu katika huduma litapanuka zaidi na tutaweza kushindana na kuifanya Dar es Salaam kuwa njia pana ya kuelekea maeneo mbalimbali, sasa tutafahamika kimataifa na tutaweza kuingia makubaliano na mashirika makubwa ya ndege,” alisema Ndekana.
Aliongeza kuwa hatua hiyo ni muhimu kibiashara hususan wakati huu ambao wamelenga kupanua safari zao nje ya mipaka ya Tanzania.
Alisema kutokana na kurejeshwa IATA, hivi sasa abiria anaweza kukata tiketi za ATCL kokote duniani.
Chanzo: Mwananchi
Habari zaidi, soma=>Air Tanzania yaondolewa kwenye mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga(IATA) kwa sababu ya madeni - JamiiForums
ajabu ni kuwa wakati watu wa chadema wakipigania taratibu zifuatwe huwa wanazodolewa, hadi pale tunapopigwa fine ndipo uvccm huja huku kwa vigelegeleHapa ndipo mnapokosea, mnalazimisha kuligawa taiga kwenye mambo muhimu ya kitaifa. Chadema ni chama cha umma, je mnataka wanachedama wote wasipende mafanikio? Mbona mnataka kujimilikisha kila kitu nyinyi? Huo ni mtazamo finyu sana.
KWA IYO BORA WASIJIUNGE AU TUSIWE NA SHIRIKA?Mkuuu ukiniambia pesa za kulipa mdeni mmezitoa wapi na nikiasi gani nitashangilia sana kama mtanzania mnyonge na masikini.
Ikiwa kupanda basi la kampuni yenye basi moja tu pale ubungo kwenda iringa ni mtihani mkubwa ukihofia likirarika mtapata wapi msaaada ndio mwarabu ambae kwao kuna oman air, fly emirates etihad na nyingine nyingi atapanda air tz badala ya kenya airways au Rwandan air mkuuu,
Labda hizo ndege tungekua tunapanda watiziiii masikini na wanyonge ila sio matajiri na wazungu mkuu
Ivii unajua makpuni ya ndege yanayo enda mumbai kutoka east afrika kwa watu wata opt kupanda Atcl badala ya hizo ndege nyingine.
Umewahi kufikiria ndege ikienda mswaki dar-mumbai go and return
Umefikilia ndege ikipata hitilafu au safari kuwa cancelled na wewe una singel plane nyie endeleeni kusifia na kufikilia kwa kutumia viungo vyenu ya kukalia
Tupe link inayoonyesha ATCL imerudi.. maana kwenye website ya IATA IATA - Current Airline Members waliopo in Precision Air pekee toka TanzaniaDar es Salaam. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeruhusiwa kurejea katika Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA), ambapo kuanzia sasa litakuwa na uwezo wa kuuza tiketi zake duniani kote.
ATCL iliondolewa IATA miaka tisa iliyopita baada ya kuelemewa na mzigo wa madeni.
Lakini tangu kufufuliwa upya kwa shirika hilo 2016, limekuwa likipambana kutaka kurejea upya katika uanachama ili kuepuka kukosa malipo ya tiketi zao hususan katika safari za kimataifa.
Taarifa ya ATCL iliyotolewa kwa washirika wake Oktoba 24 na kuthibitishwa na mkurugenzi mkuu wa shirika hilo, Ladislaus Matindi jana kwa ujumbe mfupi wa simu kwa Mwananchi inaeleza kuwa, kurejeshwa kwao kumeanza rasmi mwezi huu.
“Tulipata taarifa kutoka IATA kuwa tumerudishwa kwenye mfumo wa malipo wa pamoja (Airlines Clearing House - ACH)), na sasa Air Tanzania imerejea katika mfumo huo na ni mwanachama halali wa shirikisho hilo,” imeeleza sehemu ya barua hiyo iliyosainiwa na mkurugenzi wa Fedha, Albinus Manambu.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa fomu zote za malipo ambayo hayakufanyiwa kazi au kulipwa wakati ATCL ilipoondolewa katika mfumo, zinapaswa kutumwa upya ACH ili ziweze kushughulikiwa.
Akizungumzia kurejea IATA, mkurugenzi wa Biashara wa ATCL, Patrick Ndekana alisema hatua hiyo inarahishisha uhusiano wao na mashirika pamoja na kampuni zingine za ndege katika biashara kwa kuwa wanapenda kushirikiana na watu waliopo IATA.
“Soko letu katika huduma litapanuka zaidi na tutaweza kushindana na kuifanya Dar es Salaam kuwa njia pana ya kuelekea maeneo mbalimbali, sasa tutafahamika kimataifa na tutaweza kuingia makubaliano na mashirika makubwa ya ndege,” alisema Ndekana.
Aliongeza kuwa hatua hiyo ni muhimu kibiashara hususan wakati huu ambao wamelenga kupanua safari zao nje ya mipaka ya Tanzania.
Alisema kutokana na kurejeshwa IATA, hivi sasa abiria anaweza kukata tiketi za ATCL kokote duniani.
Chanzo: Mwananchi
Habari zaidi, soma=>Air Tanzania yaondolewa kwenye mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga(IATA) kwa sababu ya madeni - JamiiForums
Mkuuu ukiniambia pesa za kulipa mdeni mmezitoa wapi na nikiasi gani nitashangilia sana kama mtanzania mnyonge na masikini.
Ikiwa kupanda basi la kampuni yenye basi moja tu pale ubungo kwenda iringa ni mtihani mkubwa ukihofia likirarika mtapata wapi msaaada ndio mwarabu ambae kwao kuna oman air, fly emirates etihad na nyingine nyingi atapanda air tz badala ya kenya airways au Rwandan air mkuuu,
Labda hizo ndege tungekua tunapanda watiziiii masikini na wanyonge ila sio matajiri na wazungu mkuu
Ivii unajua makpuni ya ndege yanayo enda mumbai kutoka east afrika kwa watu wata opt kupanda Atcl badala ya hizo ndege nyingine.
Umewahi kufikiria ndege ikienda mswaki dar-mumbai go and return
Umefikilia ndege ikipata hitilafu au safari kuwa cancelled na wewe una singel plane nyie endeleeni kusifia na kufikilia kwa kutumia viungo vyenu ya kukalia
PIA Pakistan International AirlinesPK214PIAPakistannionyeshe hapa jinala ATCL au AirTanzania kwenye hii list ya members wa IATA ili uniaminishe kuwa umerudishwa kundini
IATA - Current Airline Members
mkuu nimefanikiwa kuiona PRECISION AIR katika members waliokidhi viwango vya kuwa wanachama IATATupe link inayoonyesha ATCL imerudi.. maana kwenye website ya IATA IATA - Current Airline Members waliopo in Precision Air pekee toka Tanzania