Qatif
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 379
- 859
Mkurungenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Nchini (ATCL) Ladislus Matindi amesema bado hawajafikia hatua ya kuifungulia kesi Kampuni iliyotengeneza injini za ndege zake aina ya Airbus ambazo hazifanyi kazi tangu mwezi Oktoba mwaka Jana.
Matindi amesema hayo wakati akizungumza katika kipindi cha Morning Express asubuhi hii hapa UFM Radio na kuongeza kuwa wameamua kuungana na kampuni nyingine za ndege barani Afrika kuwasilisha malalamiko yao kutokana na hasara wanazopata.
Pia soma > ATCL yaibana Airbus ndege zake kutokruka, yaifikisha AFRAA