Mwaka mpya
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 213
- 221
Naona Tz tunapiga hatua,Tumpe mda jpm kutanoga tu na tutasahau
Tena washitakiwe mapema
Naona Rwanda imeamua kutuvua nguo kabisa
Mkuu acha ubishi wa vijiwe vya kahawa!Siku ya Mahakama Rais akiwahutubia Majaji,hakimu na watumishi wa mahakama alisema ataleta Airbus.
Baada ya ushauri na siku ile ya ujio wa Kagame kwenye ziara hapa Bongo mwezi wa July,akiwa Ikulu Rais anasema alikutana na CEO wa RwandAir na alishauriwa kununua Q400 kwa kuanzia badala ya Airbus...Hili nalo ni la kubisha??
UBUMWE maana yake ni UMOJA ,,,,any way wamejitahidi sana hawa jirani zetuWe are excited to let you know that we are heading to Toulouse,France to bring our first A330 "Ubumwe" to the land of a thousand hills.
[HASHTAG]#FlyRwandAir[/HASHTAG] [HASHTAG]#FlyTheDreamAfrica[/HASHTAG] [HASHTAG]#Ubumwe[/HASHTAG] [HASHTAG]#A330[/HASHTAG] - 200 [HASHTAG]#3DaysToGo[/HASHTAG]
Tarehe 28/09/2016 Rwanda italeta moja kati ya ndege zake mbili mpya aina ya Airbus330(200 and 300 series) zitakazokuwa zikifanya safari zake kati ya Kigali na Asia na Ulaya.Moja ya ndege hilo wameipa jina "UBUMWE"
Ndege hizo A330-200 ina uwezo wa kubeba abiria 261 kwa wakati mmoja na nyingine A330-300 ina uwezo wa kubeba abiria 300 kwa wakati mmoja.
Rwanda itakuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kumiliki ndege aina ya A330-200/300.Ujio wa ndege hizo unafanya Rwanda kuwa na Dash8-Q400,Boeing,CRJ-900 ambazo zinasafairi sehemu mbalimbali za Afrika na Asia.
View attachment 407194 View attachment 407195 View attachment 407196 View attachment 407197 View attachment 407198 View attachment 407199
Hili ni "somo" kwa ATC toka RwandAir,ambao miaka kadhaa iliyopita waliqnza kwa kumiliki Dash8-Q400 na leo wanashusha A330-2/3 brand New.Sasa Rwanda anaenda kuwa mshindani mkubwa wa KQ ktk soko la usafiri wa anga Afrika ya Mashariki.Hii ni changamoto kwa ATCL inayofufuka toka ktk usingizi wa kutafunwa na "majizi" na "mafisadi" ambao kumbadili twiga tu wa nembo ya ATCl toka yule aliyesimama mpaka kuja yule aliyeinama iligharimu zaidi ya milioni 100,mchoro ambao angeweza kupewa kijana wa Fine Arts na akauchora.
ATCL iliyokuwa inaenda kushonesha uniform za Wahudumu wake Singapore na Malaysia na mtu anayeenda kusubiria kushoneshwa kwa nguo hizo anakaa huko miezi mitatu mpaka nguo zinakamilika,haiwezi kufikia hatua hii ya RwandAir kama upuuzi huo utaendelea.
Tuendelee kuitakia ATCL yaliyomema,ili kama vile "tulivyoshauriwa" kununua Dash8-Q400 na Rwanda,basi nasi tufuate nyayo na hatimaye miaka sita ijayo tuwe na "Ubumwe" yetu ya ATCL...Airbus 330/200
Kwa population ya Rwanda na hali za maisha ya kule na ukubwa wa ile nchi hivi hii ndege itawalipa kwa muda gani..cc barafu
We are excited to let you know that we are heading to Toulouse,France to bring our first A330 "Ubumwe" to the land of a thousand hills.
[HASHTAG]#FlyRwandAir[/HASHTAG] [HASHTAG]#FlyTheDreamAfrica[/HASHTAG] [HASHTAG]#Ubumwe[/HASHTAG] [HASHTAG]#A330[/HASHTAG] - 200 [HASHTAG]#3DaysToGo[/HASHTAG]
Tarehe 28/09/2016 Rwanda italeta moja kati ya ndege zake mbili mpya aina ya Airbus330(200 and 300 series) zitakazokuwa zikifanya safari zake kati ya Kigali na Asia na Ulaya.Moja ya ndege hilo wameipa jina "UBUMWE"
Ndege hizo A330-200 ina uwezo wa kubeba abiria 261 kwa wakati mmoja na nyingine A330-300 ina uwezo wa kubeba abiria 300 kwa wakati mmoja.
Rwanda itakuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kumiliki ndege aina ya A330-200/300.Ujio wa ndege hizo unafanya Rwanda kuwa na Dash8-Q400,Boeing,CRJ-900 ambazo zinasafairi sehemu mbalimbali za Afrika na Asia.
View attachment 407194 View attachment 407195 View attachment 407196 View attachment 407197 View attachment 407198 View attachment 407199
Hili ni "somo" kwa ATC toka RwandAir,ambao miaka kadhaa iliyopita waliqnza kwa kumiliki Dash8-Q400 na leo wanashusha A330-2/3 brand New.Sasa Rwanda anaenda kuwa mshindani mkubwa wa KQ ktk soko la usafiri wa anga Afrika ya Mashariki.Hii ni changamoto kwa ATCL inayofufuka toka ktk usingizi wa kutafunwa na "majizi" na "mafisadi" ambao kumbadili twiga tu wa nembo ya ATCl toka yule aliyesimama mpaka kuja yule aliyeinama iligharimu zaidi ya milioni 100,mchoro ambao angeweza kupewa kijana wa Fine Arts na akauchora.
ATCL iliyokuwa inaenda kushonesha uniform za Wahudumu wake Singapore na Malaysia na mtu anayeenda kusubiria kushoneshwa kwa nguo hizo anakaa huko miezi mitatu mpaka nguo zinakamilika,haiwezi kufikia hatua hii ya RwandAir kama upuuzi huo utaendelea.
Tuendelee kuitakia ATCL yaliyomema,ili kama vile "tulivyoshauriwa" kununua Dash8-Q400 na Rwanda,basi nasi tufuate nyayo na hatimaye miaka sita ijayo tuwe na "Ubumwe" yetu ya ATCL...Airbus 330/200
Tena wajibu vizuri maana walituonea sana
Kuchukua ushauri sio kitu kibaya hata siku moja iwapo utajua kupima na kupokea ushauri mzuri. Nadani walimpa huu ushauri kwani wanajua challenge walizokutana nazo. Mimi ni muumini mkubwa sana wa ''pilot study'' i.e. Kabla hujafanya project yoyote kubwa fanya kwanza jaribio dogo ili likupe mwanga mzuri kuhusu project yako. Wengi ya watu wanaopiga kelele hapa hawajui a,b,c.. za airline industy achilia mbali kuijua ndege au hata kuipanda. Imefika mahali watu wanafikiri ndege zenye pangaboi ni ndege zilizopitwa na wakati na hazitumiki tena. Sasa watu wa aina hiyo kuwaelewesha chochote ni ngumu sana.Mkuu acha ubishi wa vijiwe vya kahawa!Siku ya Mahakama Rais akiwahutubia Majaji,hakimu na watumishi wa mahakama alisema ataleta Airbus.
Baada ya ushauri na siku ile ya ujio wa Kagame kwenye ziara hapa Bongo mwezi wa July,akiwa Ikulu Rais anasema alikutana na CEO wa RwandAir na alishauriwa kununua Q400 kwa kuanzia badala ya Airbus...Hili nalo ni la kubisha??
Wewe argument zako ziko "kichama" zaidi,wakati mimi ni "mtu huru",hukosoa na kupongeza panapostahili.Sema pia Rwandair wamepata faida kwa kiasi gani mpaka leo hii? Na je wanamiliki hizo ndege au wamekodi? Kwa maana kama ni kukodi na kuendesha Shirika kwenye red yaani bila faida hata sisi tunaweza hata leo hii kuagiza hizo AirBus, lkn za nini kama Shirika haliwezi kutengeneza faida na linaishi kwa ruzuku wa Serikali ya Rwanda?
Au mnataka ndege kwa sababu ya kupiga picha muonekane kwamba mna fleet ya Airbus hata kama haingizi hata senti moja?