ATCL isiishie kwenye Dash8-Q400,ijifunze zaidi na haya mazuri kutoka RwandAir

Congo sasa kumekata ndo maana sasa wanawekeza kwenye hospitality/service industries... airlines/hotel na makumbusho ya mauaji ya kimbari, sokwe pia "biashara kongwe"
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kwa population ya Rwanda na hali za maisha ya kule na ukubwa wa ile nchi hivi hii ndege itawalipa kwa muda gani..cc barafu
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Ndugu Mavipunda! binafsi nailinganisha Rwanda na Uswisi ni nchi ndogo, zenye safu za milima lakini wamejikita katika biashara za huduma...si vibaya kuiweka RwandAir katika uelekeo wa kufanana na Swiss Air (wanaelekea huko)
 
Mkuu acha ubishi wa vijiwe vya kahawa!Siku ya Mahakama Rais akiwahutubia Majaji,hakimu na watumishi wa mahakama alisema ataleta Airbus.
Baada ya ushauri na siku ile ya ujio wa Kagame kwenye ziara hapa Bongo mwezi wa July,akiwa Ikulu Rais anasema alikutana na CEO wa RwandAir na alishauriwa kununua Q400 kwa kuanzia badala ya Airbus...Hili nalo ni la kubisha??

Duh ndugu yangu sasa nani mbishi hapo kama sio wewe??
Yaani hata kwa maandishi yako unajipinga mwenyewe. "Kashauriwa kuleta Q400 kwa kuanzia..."
Kwani Rais alisema haleti tena Airbus baada ya kushauriwa kuhusu Q400?
Hivi biashara ya Ndege waifahamu vyema aisee..
 
  • Thanks
Reactions: MC7
We are excited to let you know that we are heading to Toulouse,France to bring our first A330 "Ubumwe" to the land of a thousand hills.

[HASHTAG]#FlyRwandAir[/HASHTAG] [HASHTAG]#FlyTheDreamAfrica[/HASHTAG] [HASHTAG]#Ubumwe[/HASHTAG] [HASHTAG]#A330[/HASHTAG] - 200 [HASHTAG]#3DaysToGo[/HASHTAG]

Tarehe 28/09/2016 Rwanda italeta moja kati ya ndege zake mbili mpya aina ya Airbus330(200 and 300 series) zitakazokuwa zikifanya safari zake kati ya Kigali na Asia na Ulaya.Moja ya ndege hilo wameipa jina "UBUMWE"

Ndege hizo A330-200 ina uwezo wa kubeba abiria 261 kwa wakati mmoja na nyingine A330-300 ina uwezo wa kubeba abiria 300 kwa wakati mmoja.

Rwanda itakuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kumiliki ndege aina ya A330-200/300.Ujio wa ndege hizo unafanya Rwanda kuwa na Dash8-Q400,Boeing,CRJ-900 ambazo zinasafairi sehemu mbalimbali za Afrika na Asia.

View attachment 407194 View attachment 407195 View attachment 407196 View attachment 407197 View attachment 407198 View attachment 407199

Hili ni "somo" kwa ATC toka RwandAir,ambao miaka kadhaa iliyopita waliqnza kwa kumiliki Dash8-Q400 na leo wanashusha A330-2/3 brand New.Sasa Rwanda anaenda kuwa mshindani mkubwa wa KQ ktk soko la usafiri wa anga Afrika ya Mashariki.Hii ni changamoto kwa ATCL inayofufuka toka ktk usingizi wa kutafunwa na "majizi" na "mafisadi" ambao kumbadili twiga tu wa nembo ya ATCl toka yule aliyesimama mpaka kuja yule aliyeinama iligharimu zaidi ya milioni 100,mchoro ambao angeweza kupewa kijana wa Fine Arts na akauchora.

ATCL iliyokuwa inaenda kushonesha uniform za Wahudumu wake Singapore na Malaysia na mtu anayeenda kusubiria kushoneshwa kwa nguo hizo anakaa huko miezi mitatu mpaka nguo zinakamilika,haiwezi kufikia hatua hii ya RwandAir kama upuuzi huo utaendelea.

Tuendelee kuitakia ATCL yaliyomema,ili kama vile "tulivyoshauriwa" kununua Dash8-Q400 na Rwanda,basi nasi tufuate nyayo na hatimaye miaka sita ijayo tuwe na "Ubumwe" yetu ya ATCL...Airbus 330/200
UBUMWE maana yake ni UMOJA ,,,,any way wamejitahidi sana hawa jirani zetu
 
Kwa population ya Rwanda na hali za maisha ya kule na ukubwa wa ile nchi hivi hii ndege itawalipa kwa muda gani..cc barafu

Ni ngumu kuwalipa lakini airline business inaweza kusaidia nchi kuongeza mapato ya nchi indirectly

1.Kusaidia kuitangaza vivutio vya utalii kwenye nchi husika

2.Kutoa ajira kwa wazawa na kuimarisha miundombinu kwenye sekta ya usafiri

3.Kuongoza mapato ya serikali kwa kodi mbalimbali zinazolipwa na abiria
 
We are excited to let you know that we are heading to Toulouse,France to bring our first A330 "Ubumwe" to the land of a thousand hills.

[HASHTAG]#FlyRwandAir[/HASHTAG] [HASHTAG]#FlyTheDreamAfrica[/HASHTAG] [HASHTAG]#Ubumwe[/HASHTAG] [HASHTAG]#A330[/HASHTAG] - 200 [HASHTAG]#3DaysToGo[/HASHTAG]

Tarehe 28/09/2016 Rwanda italeta moja kati ya ndege zake mbili mpya aina ya Airbus330(200 and 300 series) zitakazokuwa zikifanya safari zake kati ya Kigali na Asia na Ulaya.Moja ya ndege hilo wameipa jina "UBUMWE"

Ndege hizo A330-200 ina uwezo wa kubeba abiria 261 kwa wakati mmoja na nyingine A330-300 ina uwezo wa kubeba abiria 300 kwa wakati mmoja.

Rwanda itakuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kumiliki ndege aina ya A330-200/300.Ujio wa ndege hizo unafanya Rwanda kuwa na Dash8-Q400,Boeing,CRJ-900 ambazo zinasafairi sehemu mbalimbali za Afrika na Asia.

View attachment 407194 View attachment 407195 View attachment 407196 View attachment 407197 View attachment 407198 View attachment 407199

Hili ni "somo" kwa ATC toka RwandAir,ambao miaka kadhaa iliyopita waliqnza kwa kumiliki Dash8-Q400 na leo wanashusha A330-2/3 brand New.Sasa Rwanda anaenda kuwa mshindani mkubwa wa KQ ktk soko la usafiri wa anga Afrika ya Mashariki.Hii ni changamoto kwa ATCL inayofufuka toka ktk usingizi wa kutafunwa na "majizi" na "mafisadi" ambao kumbadili twiga tu wa nembo ya ATCl toka yule aliyesimama mpaka kuja yule aliyeinama iligharimu zaidi ya milioni 100,mchoro ambao angeweza kupewa kijana wa Fine Arts na akauchora.

ATCL iliyokuwa inaenda kushonesha uniform za Wahudumu wake Singapore na Malaysia na mtu anayeenda kusubiria kushoneshwa kwa nguo hizo anakaa huko miezi mitatu mpaka nguo zinakamilika,haiwezi kufikia hatua hii ya RwandAir kama upuuzi huo utaendelea.

Tuendelee kuitakia ATCL yaliyomema,ili kama vile "tulivyoshauriwa" kununua Dash8-Q400 na Rwanda,basi nasi tufuate nyayo na hatimaye miaka sita ijayo tuwe na "Ubumwe" yetu ya ATCL...Airbus 330/200

Sema pia Rwandair wamepata faida kwa kiasi gani mpaka leo hii? Na je wanamiliki hizo ndege au wamekodi? Kwa maana kama ni kukodi na kuendesha Shirika kwenye red yaani bila faida hata sisi tunaweza hata leo hii kuagiza hizo AirBus, lkn za nini kama Shirika haliwezi kutengeneza faida na linaishi kwa ruzuku wa Serikali ya Rwanda?
Au mnataka ndege kwa sababu ya kupiga picha muonekane kwamba mna fleet ya Airbus hata kama haingizi hata senti moja?
 
Hayo mengine nahic nkichangia nitaonekana mhochezi

Swali: vipi wale wataalamu wa it kutokackwa mshikaji kagame? Washafika?
 
Mkuu acha ubishi wa vijiwe vya kahawa!Siku ya Mahakama Rais akiwahutubia Majaji,hakimu na watumishi wa mahakama alisema ataleta Airbus.
Baada ya ushauri na siku ile ya ujio wa Kagame kwenye ziara hapa Bongo mwezi wa July,akiwa Ikulu Rais anasema alikutana na CEO wa RwandAir na alishauriwa kununua Q400 kwa kuanzia badala ya Airbus...Hili nalo ni la kubisha??
Kuchukua ushauri sio kitu kibaya hata siku moja iwapo utajua kupima na kupokea ushauri mzuri. Nadani walimpa huu ushauri kwani wanajua challenge walizokutana nazo. Mimi ni muumini mkubwa sana wa ''pilot study'' i.e. Kabla hujafanya project yoyote kubwa fanya kwanza jaribio dogo ili likupe mwanga mzuri kuhusu project yako. Wengi ya watu wanaopiga kelele hapa hawajui a,b,c.. za airline industy achilia mbali kuijua ndege au hata kuipanda. Imefika mahali watu wanafikiri ndege zenye pangaboi ni ndege zilizopitwa na wakati na hazitumiki tena. Sasa watu wa aina hiyo kuwaelewesha chochote ni ngumu sana.
 
Sema pia Rwandair wamepata faida kwa kiasi gani mpaka leo hii? Na je wanamiliki hizo ndege au wamekodi? Kwa maana kama ni kukodi na kuendesha Shirika kwenye red yaani bila faida hata sisi tunaweza hata leo hii kuagiza hizo AirBus, lkn za nini kama Shirika haliwezi kutengeneza faida na linaishi kwa ruzuku wa Serikali ya Rwanda?
Au mnataka ndege kwa sababu ya kupiga picha muonekane kwamba mna fleet ya Airbus hata kama haingizi hata senti moja?
Wewe argument zako ziko "kichama" zaidi,wakati mimi ni "mtu huru",hukosoa na kupongeza panapostahili.
Hizi ndege hawajakodi kwa mtu,wamenunua wao brand New!!Mengine hayo naona ni league ambazo mimi huwa sizingatii sana humu jukwaani!!Mimi hupenda kujadiliana na si kubishana
 
Back
Top Bottom