associated degree

tanira1

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
942
159
wakuu nilikuwa naomba kujua ASSOCIATED DEG​REE ni degree ya aina gani (weight yake)
 
Kwanza tusahihishane ktk jina inaitwa Associate Degree na sio Associated Degree
Degree hii inatolewa ktk mfumo wa US baada ya kukamilisha miaka 2 ktk junior universities na Colleges.
Roughly tunaweza kusema ni kama Foundation degree kwa mfumo wa UK BTEC
Hong Kong introduced associate degrees, as an equivalence to higher diplomas
Kwa mfumo wa Australia hii ni sawa na Advanced Diploma.
Kifupi suala hili linatakiwa liwekwe wazi na HEAC Tanzania.
Vinginevyo tutachukua definition za kila nchi mwishowe ni kuchanganyikiwa tu
 
inatokana na chuo kikuu kishiriki, mfano DUCE, mkwawa wanatoa degree kwa kushirikiana na UDSM na ktk cheti chako kitakuwa na logo 2
 
nakushukulu kwa kunijuza mkuu maana nilikuwa napata shida mimi ni mmoja wa waathirika wa elimu yetu ya kbongo ya dezine ya kata sasa katika kuparanganya nilisoma chuo kimoja katika level ya diploma kule us nimefanya vizuri wamenishawishi kusoma associate degree ulivyorekebisha jina uko sawa kabisa kupitia kwako sasa naanza rasmi kusoma hiyo degree je itanitoa mkuu? (mlango wa gunia,narubongo,c programing)
 
Back
Top Bottom