ASSISTANCE: Condomu kubaki ndani ya uke!

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,760
Heri ya pasaka!
naombeni ushauri kama ikitokea wakati unafanya mapenzi, condomu ikabaki ndani ya uke baada ya kuchelewa kuitoa!!
 
unaiacha humohumo ndani ili siku nyingine usiwe na haja ya kununua nyingine. pia hii itakusaidia usiingize mimba sisizo na mpangilio. big up. usiitoe, iache mumo kwa mumo.
 
Wahi clinic ya karibu ikatolewe...

Lakini hii huwa inatokea kiukweli??
 
yes, imetokea tena sasa hivi,...jamaa kaja kwngu mbio lakin skuwa na lakumshauri, ila nikamwambia kuna jf doctors and councelers!!
 
Mimi ilishawahi nitokea nikiwa kwa GAME...sikugundua mwanzoni...at the end nashituka nkakuta ngoma iko dry....nkaanza kuisaka baada ya GAME...sikuikuta kabisa; My ♥ wangu akaondoka,kufika home akaenda 0ga...then akahisi haja ndogo....kukojoa akakuta CONDOM ..INATOKA..
Akanipigia simu nikaamua kuapologize; sometymes game huwa inakuwa kali so hata kugundua ni ngumu...

ushauri ajaribu kwenda haja ndogo...then aivute
 
Mkuu tatizo dogo hili
napokojoa lazima itasukumwa na mkojo na kumpa mwanya wa kuivuta na mkono; yani mie nlidata xana nkaanza kuhisi mengine but baadaye nikarudi normal baada ya kupata in4
 
duu,ina maana hata magonjwa yanaweza kuingia,kwai sperm zinakuwepo humo humo
 
Heri ya pasaka!
naombeni ushauri kama ikitokea wakati unafanya mapenzi, condomu ikabaki ndani ya uke baada ya kuchelewa kuitoa!!

heri ya pasak??! Hivi unajua hata maana ya pasaka? Maana unaleta post za kizinzi kizinzi alafu unaanza kwa kusema heri ya pasaka! Plz usimsurubishe Bwana Yesu kwa mara ya 2.
 
Wahi clinic ya karibu ikatolewe...

Lakini hii huwa inatokea kiukweli??

Ishatokea kwa dem nliyekuwa namtafuna one day back in 1991 mkuu! Baada ya kuchomoa nikashangaa condom haipo, baada ya kupekua sana nikaikuta kwenye uke wa dem. Nikafanya uchunguzi nikagundua kuwa inatokeaga Kama ukiwa unapiga bao mbili humo kwa humo kwa kutumia condom moja. kwaiyo bandugu, condom moja, bao moja.
 
unaiacha humohumo ndani ili siku nyingine usiwe na haja ya kununua nyingine. Pia hii itakusaidia usiingize mimba sisizo na mpangilio. Big up. Usiitoe, iache mumo kwa mumo.

okoa pesa kwa kila tendo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom