Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,932
- 31,178
Askofu wa KKKT dayosisi ya kaskazini Dr Laizer anamtambua Mheshimiwa Gaudence Lyimo kama meya halali wa jiji la Arusha.Uthibitisho nimehushuhudia mwenyewe kwenye kadi ya mwaliko toka kwa Askofu Dr Laizer kwenda kwa Mheshimiwa Gaudence Lyimo ambaye atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za dayosisi.
Itakumbukwa sakata la maandamano Arusha Askofu Dr Laizer alitamka hadharani kutokumtambua meya wa jiji la Arusha na kwamba wasingeshirikiana naye.Kufuatia mwaliko wa Askofu Dr Laizer ni dhahiri ameuweka kando msimamo wake wa awali pengine ni baada ya kutambua walichokuwa wakielezwa na CHADEMA hakikuwa sahihi.
Naomba kuwasilisha.