Askofu Kilaini aitwa Dar es Salaam na Kanisa Katoliki

wamelawiti weeee mpaka wamechoka, wamefisadi weee mpaka wameubariki ufisadi nawachukia sana wapiga got nawaita eee bwana mungu wakati ni wezi, walawiti, mafisadi na sasa wamekuwa fraud bora mimi ninaye swali saa ya kula, kulala, kuamka na kuzika wafu basi.

maajab haya yako tanzania tu. sijui huwa wanaubiliana nini lile dhehebu lonaloimiliki hii benki ya kusaidia wizi aka money laundering. au husifiaana kwa kuraise deposit pia kupiga dili likatiki??

katika ufisad huu wa escrow. busara ni watanzania kuzisusa hizi benki kajanja zinazosaidia mafisadi. roman catholics inawahusu hili benki yenu imafacilittate wizi. money laundering. halafu unaingia church na bonge ya biblia kumbe benki yako ni benki fisadi. ppfffuuuu
 
Kwa hiyo tuache kwenda kusali na kumsifu Mungu kwa sababu ya bank? Hiyo bank ndio ya kutufikisha Mbinguni? Una akili finyu kweli wewe
 
DSC07653.jpg

sina uhakika na hayo yaliyoandikwa humu.ck hizi baadhi ya watumiaji hutumia hii mitandao kutukana watu na si kuhabarisha watu.matusi imekuwa ni kawaida.watanzania tunakwenda wapi mbona hiyo haikuwa desturi yetu
 
Roma aliimba Ikulu imejaa vibaka Manzese wanawakamata, Wimbo unaitwa Mathematics
 
Hizi chuki nyingine ni za ujinga uliopitiliza mipaka.

Hivi benki ya Mkombozi kosa lake ni nini?

Nijuavyo mimi ni kwamba benki ya Mkombozi ilitimiza masharti yote na kanuni za kifedha kuhusiana na fedha za Escrow. Benki ya Mkomboxi ilimwandikia Gavana wa benki kuu kupata uthibitisho wa benki kuu kuwa pesa hiyo ni ilitoka kiuhalali na ni halali. Wakajibiwa kwa barua kuwa ni halali na imetoka kihalali. Wakaandika barua ya pili kwa Gavana wa benki ili kupata uhakika kama kuna kodi yoyote iliyotakiwa kulipwa ambayo haikulipwa. Wakajibiwa kwa barua kuwa wawasiliane na Kamishna wa Kodi. Mkombozi wakamwandikia Kamishna Mkuu wa kodi kuuliza kama kuna kodi inatakiwa kukatwa, akawajibu kwa barua kuwa kodi ni sh. 38 bilioni, waikate, wakafanya hivyo. Kodi ikawasilishwa TRA. Utoaji wa pesa kutoka benki ya Mkombozi, hakuna uliofanywa kwa kulipa cash, ndiyo maana wote waliolipwa na Rugemarila tunawafahamu lakini waliolipwa pesa nyingi zaidi toka Stanbic hatuwajui.

Mtanzania yeyote mwenye akili timamu angeshukuru na kuisifu benki ya Mkombozi kwa uwazi na utendaji kazi unaozingatia sheria na kanuni. Laiti watu wote wangekuwa wamelipwa kupitia Stanbic, mpaka leo hii tusingemjua hata mmoja.

Hivi mnaoilaumu Mkombozi bank, mnaweza kutaja makosa mapungugu au kasoro kuhusiana na benki ya Mkombozi katika upokeaji au ulipaji wa pesa hii iliyotoka Escrow?

Tusiwe tunaandika kwa vile tu tunajua kusoma na kuandika. Mkombozi bank with regard to Escrow account money, acted prudently, professionally and transparently at any banking standards. Ni mbumbu pekee yao ndiyo wanaoweza kuilaumu benki hii.

maajab haya yako tanzania tu. sijui huwa wanaubiliana nini lile dhehebu lonaloimiliki hii benki ya kusaidia wizi aka money laundering. au husifiaana kwa kuraise deposit pia kupiga dili likatiki??

katika ufisad huu wa escrow. busara ni watanzania kuzisusa hizi benki kajanja zinazosaidia mafisadi. roman catholics inawahusu hili benki yenu imafacilittate wizi. money laundering. halafu unaingia church na bonge ya biblia kumbe benki yako ni benki fisadi. ppfffuuuu
 
Mkapa hapo atasaidiaje ili hali alianzisha ANBEN akiwa ikulu, Kiwira alikula, hapo ndo nafsi inamsuta

Wote wezi tu. hukumu ya wizi inawasubiri kwa Mola wa haki. JK hakika ana mgao wa Escrow au kuna namna ananufasika isivyo halali. Hata wajukuu zake watajibu wizi huu maana wanaufaidi
 
Nitatofautiana nawe kidogo mkuu, alipokuwa akisema JK ni chaguo la Mungu, Kilaini alikuwa ana maana ya kupewa maono ya kuwa JK ndiye amechaguliwa na Mungu, kuja kuizika rasmi CCM na kuwa itamfia mikononi mwake!

Kwa sasa dalili zote ziko wazi kuwa JK anaendelea kuisafishia njia ukawa, ili iweze kuingia madarakani mwaka 2015.

Kwa maana hiyo Kilaini hajakosea aliposema kuwa JK ni chaguo la Mungu, kwa maana ndani ya utawala wake CCM itaanguka, kwa maana hiyo kuleta ukombozi wa kikweli kweli wa watanzania na kwa mara ya kwanza tokea nchi yetu ipate uhuru wake mwaka 1961, watanzania wa kawaida, wataanza kuona manufaa ya rasilimali nyingi sana ambazo Mwenyezi Mungu, amezijaza na kutujaalia ndani ya nchi yetu, kuanzia mwakani 2015!

mkuu Rasilimali zipi unazozijua wewe,, kama madini u tawala wa Ben ulishabinafsisha, gasi tulidhani tunapata deal na jk lakini ndo wale wale kuona mikataba labda uwatoe roho. Wanyama wetu ndo kama hivyo Royal jets zinatu mbugani na kujichagulia huku permits za Raisi zikitumika na wahafidhina kujichagulia kila akina ya mnyama utadhani wanajuaza Safina enzi za nuhu. Ardhi iliyolindwa na baba yetu wa Taifa kama talanta ndo hatuna chetu tena ni kero. Wewe rudi uandindike upya utueleze bila kupepesa macho ni rasilimali zipi za watanzania unazoziongelea
 
Sijaamini mpaka sasa sijasikia neno la askofu pengo kwa uchafu wa mgao wa escrow kwenda kwa askofu kilaini. Oooo kama yeye kiongozi nilitaraji kusikia neno la buisara,,anyway sijui wa chini wakiiba kanosani mnasemaje,,,,tuifungie mioyo
 
Hivi unalijua Kanisa Katoliki wewe au unalisikia tu.Nadhani hulijui,MBONA HICHO CHA KILAINI CHA MTOTO.Kuna kipi cha ajabu sana hapo.Ukiyasikia matumbo yatauma.
Sijaamini mpaka sasa sijasikia neno la askofu pengo kwa uchafu wa mgao wa escrow kwenda kwa askofu kilaini. Oooo kama yeye kiongozi nilitaraji kusikia neno la buisara,,anyway sijui wa chini wakiiba kanosani mnasemaje,,,,tuifungie mioyo
 
Kuna balozi wa Vatican nchini ambaye ni mwakilishi wa papa. Pengo yuko karibu naye na comment yake ina uzito
 
maajab haya yako tanzania tu. sijui huwa wanaubiliana nini lile dhehebu lonaloimiliki hii benki ya kusaidia wizi aka money laundering. au husifiaana kwa kuraise deposit pia kupiga dili likatiki??

katika ufisad huu wa escrow. busara ni watanzania kuzisusa hizi benki kajanja zinazosaidia mafisadi. roman catholics inawahusu hili benki yenu imafacilittate wizi. money laundering. halafu unaingia church na bonge ya biblia kumbe benki yako ni benki fisadi. ppfffuuuu

Tatizo wewe akili huna. Wakati mwingine ukiona watu wanaojielewa wakichangia mada kaa kimya au uliza kwanza kulikoni hizi hoja zako za kichekechea
 
Pengo hawezi sema kitu,huenda kapata mgao.ht jimbo la tunduru masasi ameliacha hoi,hakuna kinachoendelea parokia ya lukuledi na nyinginezo
 
Back
Top Bottom