Brooklyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 1,459
- 284
wadau angalieni Channel 10 muda huu, Askofu Kakobe anawaelimisha waumini wake namna ya kuchagua viongozi bora. Anasema msichague viongozi wala rushwa au wale ambao wanawatetea au kuwa na uswahiba na mafisadi. Amesema watu wasiogope mabadiliko, huku akitoa mifano mbalimbali kutoka kwenye biblia mfano Samweli alivyokuwa jasiri kukiri kwamba amekula rushwa.