Askofu Kakobe afundisha namna ya kuchagua viongozi bora

Brooklyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
1,459
284
wadau angalieni Channel 10 muda huu, Askofu Kakobe anawaelimisha waumini wake namna ya kuchagua viongozi bora. Anasema msichague viongozi wala rushwa au wale ambao wanawatetea au kuwa na uswahiba na mafisadi. Amesema watu wasiogope mabadiliko, huku akitoa mifano mbalimbali kutoka kwenye biblia mfano Samweli alivyokuwa jasiri kukiri kwamba amekula rushwa.
 
kakobe hajamu endorse candidate yoyote, ila mwenye uelewa mzuri ni wazi alikuwa anawasihi watanzania wamchague Dr. wa ukweli na uhakika ambaye ni President elect Dr. Slaa!
 
Back
Top Bottom