Askofu Emmaus Mwamakula akana kuuliza kuhusu afya ya Freeman Mbowe

Daa aisee no kweli kabisa hata mimi napata mashaka kidogo na afya ya mbowe hajaonekana muda mrefu sana pia kwenye misiba yote iliyotokea hajatokea kabisa
Hivi mnadhani Mbowe ni robot ambayo haiwezi kuumwa?
Mbowe ni mwanadamu pia kama nyinyi tu .
 
Stupid !!, kwani Mbowe ni Rais wa nchi hii hadi tutangaziwe kama anaumwa??!!--- hayo ni mambo ya ndani ya Chama chake.
Hongera sana mkuu kwa majibu mazuri kwa huyo MATAGA wa Lumumba
 
Kusema kweli kama Mbowe anaumwa namuombea kwa Mungu apone ili aendelee na maisha yake kama kawaida!

Mbowe ni mmoja ya watu ninao wakibali sana tena sana kutoka upinzani ni mtu aliyejaa utu wa hali ya juu na mtu mwenye hekima sana tena sana....

Mimi naamini kama anaumwa atapona na atarudi!
Kwa mara ya kwanza umeongea kama mwana siasa
 
Back
Top Bottom