Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,790
- 104,720
Na baba ako
Watu weweeeee, mbuzi, meeeee.
Na baba ako
Laaana ya chato mkuu.! Mungu mkuu. Walikuwepo kina babangida, leo hawapo. Kina mobutu seseseko! Walimaliza vibaya mwendo.Huyo baba Askofu sio mjinga wa hivyo, anajua chanzo cha hiyo kesi ni kuharibu taratibu za uchaguzi kwa amri ya jiwe. Na hicho kinachoendelea kwenye hiyo kesi ni sehemu ya kuisafisha serekali na mauaji ya Akwilina na kuficha uchezeaji wa box la kura chini ya utawala wa jiwe. Ukweli uko wazi akina Mbowe wanaonewa kwakuwa hawana dola na mwenye dola anaweza kuiagiza mahakama itii anachotaka.
Baba Askofu kabla hujaanza kumfananisha Mbowe na Mandela pengine ungekaa na Mbowe na kumweleza umuhimu wa kuwa mkweli. Alituma ujumbe Mahakani kuwa yuko Mahututi kwenye hospitali moja huko Afrika Kusini, kumbe ameenda Ubelgiji kwa mambo yake! Na alivyomsahaulifu akatuma na picha kabisa. Sasa leo hii wewe mtumishi wa Mungu na majoho yako umeshindwa hata kusimamia hilo ili siku nyingine asiseme uwongo? Au ile Amri ya Tano imefutwa kwenye kitabu cha baba Askofu?
Mzinzi mkubwa bagonza Na mzaa hovyo Na malaya Na ushahidi upo magazeti ustawi wa jamii nk aweza mwombea nani? Nani aweza taka maombezi yake?
View attachment 959204
Maneno ya Baba Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
"Japokua Mbowe ni tofauti na Mandela, lakini mbinu za kumshughulikia Mbowe zikifanana na zile zilizomshughulikia Mandela, basi Mandela na Mbowe wanakuwa sawa. Na kwa hiyo waliomshughulikia Mandela wanakuwa sawa na wanaomshughulikia Mbowe. Tunahitaji nguvu ya hoja" (si nguvu ya dola).!
akili ndogo ya ccm kujificha kwao kwenye hoja nimatusiKazaa Na malaya huyo usiende kutafuta maombi kwake hatakiwi kuombea wengine ajiombee yeye Na nafsi yake Na madhambi yake ya Uzinzi yaliyokubuhu Yeye ndio anatakiwa atafute wa kumwombea sababu kashindwa kudhibiti tamaa za Uzinzi atafute waombaji wakemee pepo lake la Uzinzi aliloshindwa kulidhibiti kwa kofia ,Fimbo ,Pete Na gwanda la uaskofu
Baba Askofu kabla hujaanza kumfananisha Mbowe na Mandela pengine ungekaa na Mbowe na kumweleza umuhimu wa kuwa mkweli. Alituma ujumbe Mahakani kuwa yuko Mahututi kwenye hospitali moja huko Afrika Kusini, kumbe ameenda Ubelgiji kwa mambo yake! Na alivyomsahaulifu akatuma na picha kabisa. Sasa leo hii wewe mtumishi wa Mungu na majoho yako umeshindwa hata kusimamia hilo ili siku nyingine asiseme uwongo? Au ile Amri ya Tano imefutwa kwenye kitabu cha baba Askofu?
Kesi yenyewe inayomtaka mbowe awe akiripoti na kutokutoka nje ya nchi ndio msingi mkuu wa uonevu, ukandamizaji na uongo uliopindukia mipaka kati ya watawala na watawaliwa. Jiulize kina Mbowe wanashitakiwa kwa kosa gani katika kesi ya msingi?Baba Askofu kabla hujaanza kumfananisha Mbowe na Mandela pengine ungekaa na Mbowe na kumweleza umuhimu wa kuwa mkweli. Alituma ujumbe Mahakani kuwa yuko Mahututi kwenye hospitali moja huko Afrika Kusini, kumbe ameenda Ubelgiji kwa mambo yake! Na alivyomsahaulifu akatuma na picha kabisa. Sasa leo hii wewe mtumishi wa Mungu na majoho yako umeshindwa hata kusimamia hilo ili siku nyingine asiseme uwongo? Au ile Amri ya Tano imefutwa kwenye kitabu cha baba Askofu?
Luka 3Huyu askofu koko hajui uaskofu anatakiwa atumie mitandao kuhubiri injili sio siasa.Hajui Matumizi ya mitandao kama kiongozi wa dini
Ongea yote lakini kumuita Bagonza aliyesimikwa Uaskofu Kikasisi ni upumbavu uluotukuka. Hata kama hutaki hoja zake au zinakugusa Mbwa koko kama wewe huna udhu wa kumuita Bagonza jina la kipuuzi.Huyu askofu koko hajui uaskofu anatakiwa atumie mitandao kuhubiri injili sio siasa.Hajui Matumizi ya mitandao kama kiongozi wa dini
Amen baba Askofu.View attachment 959204
Maneno ya Baba Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
"Japokua Mbowe ni tofauti na Mandela, lakini mbinu za kumshughulikia Mbowe zikifanana na zile zilizomshughulikia Mandela, basi Mandela na Mbowe wanakuwa sawa. Na kwa hiyo waliomshughulikia Mandela wanakuwa sawa na wanaomshughulikia Mbowe. Tunahitaji nguvu ya hoja" (si nguvu ya dola).!
Sishangai. Ukristo umevamiwa. Nadhani huyu askofu ndio yule mwenye tuhuma za kumzalisha binti wa watu na kumtekeleza yeye na mtoto wake. Sasa unatarajia nini kwa mtu kama huyo ambaye anajitambulisha kama mtumwa wa Kristo?Baba Askofu kabla hujaanza kumfananisha Mbowe na Mandela pengine ungekaa na Mbowe na kumweleza umuhimu wa kuwa mkweli. Alituma ujumbe Mahakani kuwa yuko Mahututi kwenye hospitali moja huko Afrika Kusini, kumbe ameenda Ubelgiji kwa mambo yake! Na alivyomsahaulifu akatuma na picha kabisa. Sasa leo hii wewe mtumishi wa Mungu na majoho yako umeshindwa hata kusimamia hilo ili siku nyingine asiseme uwongo? Au ile Amri ya Tano imefutwa kwenye kitabu cha baba Askofu?
Mwanabodi, soma vzr Bandiko, amezungumzia "MBINU zinazotumika".....Hapa utakuwa umemlisha Askofu wa watu maneno ambayo hajasema. Mathematically this is not correct. there is no correlations analysis btw Mbowe and Mandela
Ni kibabu kimoja enzi za ujana wake na uhai wake aliwasaidia jamaa zake huko afrika kusiniMandera ndio nani ?
Wewe ana watoto nje ya ndoa huyo Na kawazaa akiwa askofu bwege wewe Hana maadili huyo atoe banzi jicho lake KwanzaOngea yote lakini kumuita Bagonza aliyesimikwa Uaskofu Kikasisi ni upumbavu uluotukuka. Hata kama hutaki hoja zake au zinakugusa Mbwa koko kama wewe huna udhu wa kumuita Bagonza jina la kipuuzi.
vipi Na Uzinzi Unaendelea kwenye maisha yake huyo askofu koko hautakiwi kusemwaLuka 3
12 Watoza ushuru nao wakaja kubatizwa, wakamwuliza, Mwalimu, tufanye nini sisi?
13 Akawaambia, Msitoze kitu zaidi kuliko mlivyoamriwa.
14 Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
INJILI HALISI NI LAZIMA IWE KWELI YA UHALISI WA KINACHOENDELEA KATIKA JAMII.