Askari wa tigo

Big One

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
759
47
hivi hawa ndugu zetu mbona wanaendekeza njaa sana wakiona mtu anaendesha chombo cha moto wanataka kumkamata cjui ni wivu unaowasumbua yani wananuka rushwa tupu utawaona wanakagua kila kitu ili mradi wakutafutie kosa kiufupi wanaboa sana nasema hvyo yamenikuta ful kutafutiana makosa
 
kwa navyojua kuwa askari tigo waliandaliwa kwajili ya ulinzi (mobile) kwa ajili ya mali ya wananchi na kuzibiti ujambazi lakini inashangaza kuwa wao wanafanya kazi ya traffic ..................... na0mba viongozi wetu husika wawaelimeshe hao askari tigo kuwa kazi yao nini sio wanatusumbuwa mwisho wake tutawachukulia hatua kwa njia zetu tunazozijua maana ni kero kubwa kwa jamii sasa kwa jumla
 
Back
Top Bottom