Askari mkakamavu kabisa wa jeshi la polisi

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Askari mkakamavu kabisa kulia akijiandaa kuupokea mwili wa kamanda barlaw....

<tbody>
</tbody>

Hapa askari mkakamavu kabisa kulia mwenye suti ya kibluu akijiandaa kwa heshma zote kuupokea mwili wa kamanda barlaw.

<tbody>
</tbody>
 
Fat-Cops.jpg
 
duh asee yani hizi miili ni balaa kibaka akiiba kwenye mkoba wa mama au akimchomoa mtu hapo....! yani ao mapolisi wataona vumbi tu...!
 
Askari mkakamavu kabisa kulia akijiandaa kuupokea mwili wa kamanda barlaw....

<tbody>
</tbody>

Hapa askari mkakamavu kabisa kulia mwenye suti ya kibluu akijiandaa kwa heshma zote kuupokea mwili wa kamanda barlaw.

<tbody>
</tbody>
Nasikia hata RICK ROSS alikuwa askari jela,akanogewa na mistari akasepa!
 
Ahhhhhh,,,,hizi picha zimenichekesha sanaaa,,,,,,,,,,
jaman kuna mmoja yupo mahakama ya kisutu pale anaitwa HAMISI,,,,,,hahahaaa huyo nae balaaa
 
Back
Top Bottom