"Ask the Speaker," Ni Usanii?

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Kwenye wavuti ya Bunge la Tanzania kuna sehemu ya kumuuliza Spika:
ASK THE SPEAKER
Spika.jpg


Hon.Samuel Sitta(MP)
Online interactive forum with the SPEAKER


Cha kushangaza nimemwandikia Spika na kuwa na "Online interactive forum with the Speaker" lakini bila mafanikio! Sasa tuseme huu ni usanii au namna gani? Kwa nini waweke huduma kwenye wavuti ambayo haipo?
 
Usanii upo kila mahali; Toka kwenye EXECUTIVE hata huko PARLIAMENT!!
 
If you ask the question the speaker and the speaker is not speaking.. do you still expect an answer?
 
Speaker analazimika kuingia kwenye usanii baada ya kugundua kwamba kundi lenye mlengo wa kifisadi chamani linamwinda hata limelazimika kukodi mamluki wasio wanaccm kuongeza nguvu. Hivyo kila neno analonena linapelekwa barazani kufanyiwa mkakati wa kulipotosha.
 
Back
Top Bottom