locust60
Senior Member
- Oct 1, 2008
- 101
- 12
Tafiti binafsi: 98% ya watu ninaokutana nao na kuzungumza nao au wakiwa wanazungumza habari za siasa wanaeleza kukerwa na CCM na kutomtaka JK. Nyumbani, ofisini, chuoni, hospitalini, hotelini, sokoni, madukani, kwenye daladala, kwenye tax, kwenye foleni za benki, njiani na katika vijiwe vyangu ninavyopendelea kukaa hukutana na aina hii ya commenti. 98% wanaichukia CCM na hawamtaki JK.
wengi husema rais wao ni Dr Slaa.
Naombeni member wa JF hebu niambieni hali ikoje kwa upande wenu? Inawezekana mimi ndo nasikia vibaya kwa sababu Rais wangu ninayemtambua ni Dr. Slaa
Ndugu utafitin uliofanya ni wawapiga kura au wasiopiga kura?Nahisi kama hiyo data ya wasio piga kura ambao hawana msaada wowote kwenye maendeleo ya nchi yetu.