Asilimia 72% ya waathirika wa ukimwi ni wanandoa. Bora machangudoa

notifeki

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
402
281
Kwa mujibu wa takwimu za mashirika ya afya kwa afrika ukimwi umewaathiri zaidi wanandoa kuliko machangudoa.
Si rahisi kwa mwanaume kutia changu bila condom. Bali ni rahisi mno kwa mwanaume kutia mke wa mtu bila condom. Na ni rahisi mno kwa mwanaume kutia demu wa ofisini, college, mtaani nk.bila condom.
Ndiyo maana nawasisitizia wadau you are more safe screwing a prostitute kuliko kutia mke wa mtu au demu wa college au demu wa ofisini au demu wa mtaani.
 
Nakubaliana na wewe 100%
 
Pale Kilimanjaro kuna kituo cha utafiti kiliwahi kutoa taarifa ya utafiti iliyokuwa inalinganisha makundi mawili ya wenye virusi vya ukimwi.Utafiti huo ulionyesha kuwa asilimia kubwa ya waathirika walikuwa wanatumia kondom,ukilinganisha na kundi la waathirika waliokuwa hawatumii kondom.
Kwa mujibu wa takwimu za mashirika ya afya kwa afrika ukimwi umewaathiri zaidi wanandoa kuliko machangudoa.
Si rahisi kwa mwanaume kutia changu bila condom. Bali ni rahisi mno kwa mwanaume kutia mke wa mtu bila condom. Na ni rahisi mno kwa mwanaume kutia demu wa ofisini, college, mtaani nk.bila condom.
Ndiyo maana nawasisitizia wadau you are more safe screwing a prostitute kuliko kutia mke wa mtu au demu wa college au demu wa ofisini au demu wa mtaani.
 
Nilimtiaga mke wa mtu sasa wakati navaa condom akaniuliza hicho nini unavaa? Yaani hawajui condom kabisa na nisingevaa hasingeshtuka.
 
Mm wanandoa weng ndin wamejitokeza kupima ila ki uhalisia 2kisema kila mtu apimwe ukimwi utakuta takwima zinabadirika
 
Nani kakwambia Changu anatumia Condom?
Bibie ana washikaji 7 kwa siku bado wa Kill nae usiku ni wangapi kati ya hao asiye na ukimwi
Achana na Machangu hii Dunia ni nyingine hii manati (Milupo / Loop) hayaishi utamu ni wewe mwenyewe na fillings zako kwani ni sawa na kula Big G wakati mate ni yako sasa ule na maganda bora uache ujue moja
Kuna jamaa yangu alikuwa natembe na Box la Condomu kumbe hatumii
 
Mm wanandoa weng ndin wamejitokeza kupima ila ki uhalisia 2kisema kila mtu apimwe ukimwi utakuta takwima zinabadirika
kabisa.... wanandoa ndo wengi wanapima,,, ukilazimishwa wote.... hutoamini kitakachotokea...
 
Back
Top Bottom