Asilimia 45 ya wanaume ni wagumba

Makanyagio

Senior Member
Jun 25, 2009
125
30
Gazeti la Mwananchi leo limetoa utafiti wa kitaalam kwamba asilimia 45 ya wanaume ni wagumba. Kuna sababu ya kuzaliwa na nyingine ni kuathirika katika tezi inayozalisha manii kutokana na sababu mbalimbali kama joto kali sehemu za siri, kubeba laptop, mionzi kwenye madini nk.

Hoja yangu naileta kwa wanajamvi ili tuweze kusaidiana maana ni wengi wameathirika lakini kukubali ndio ngoma, ni dawa (mitishamba) au vyakula gani vya asili (hata dawa za hospitali pia) ambavyo huweza kusaidia kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume (sperm count).
Nawasilisha
 
huu utafiti umethibitisha kuwa asilimia hamsini wa watoto kwenye ndoa si wa baba mhusika
 
Back
Top Bottom