Asilimia 15 ya Bodi ya Mikopo kuanza kukatwa kwenye mshahara ghafi(basic) kuanzia mwezi Januari

Ukitaka uyajue maisha vzur ni lazima uyaishi sasa Magu tumemjua na sasa tujadil namna ya kumwondoa ikulu coz zingine hz ni Soga tu
 
Kwa namna hii si nusu ya mshahara wako unarudi serikalini. Mwaka wake WA pili huu na haueni ya maisha kwa mnyonge haipo. Kwa makato haya purchasing Power ya mtu itashuka sasa hvo viwanda anavyoanzisha bidhaa zake zitanunuliwa na nani kama hata soko LA ndan halina uwezo WA kununua,Watu hawana hela mifukon kwao..
 
Mimi sina chama kama wewe ila hapa watanzania tulibugi. Na itatucost. Kibaya zaidi mie nakatwa na mdogo wangu hajapata mkopo inabidi nimlipie. Yaani double standard
Anayekukashifu hajua magumu ya maisha. Hata kwa manafunzi anayemaliza masomo ndan ya miaka hii iliyobak anaogopa kuanza maisha ya utumishi. Kwasababu hii ni sulubu na kupata presha chini ya miaka 40
 
So
Ila kusema kweli, 15% ni kubwa sana sana, na wabunge wa CCM sio watu kabisa, mm ni CCM, ila hili wameshindwa hata kujua ni hatari kwa maisha ya mtumishi, sbb sasa hv tu makato ya mshahara almost yanafikia 36%...

Sasa ukichukua 36% + 15% = 51% ya basic salary

Na wabunge wanaona tu, sbb wao haiwahusu, na wakapitisha..!!

Watumishi waliosoma kwa mikopo watumia sana saanaa..!! Sbb utakuwa unakatwa karibia nusu mshahara baada ya makato yako yote..!!

Hili ni janga kuu kwa walio na mkopo, labda Mh. Rais aguswe na nani moyoni ashtuke na aombe irekebishwe, of which sioni kama hilo lipo, atleast wangeeka 8% kama awali..
solution wadogo zetu msiombe mikopo
 
Sio porojo, mi najua atatuskia hakuna asiye taka kulipa sema kiasi cha pesa kinacho taka kukatwa nikikubwa kulingana na kipato tunacho pokea so ni kumuoba atusikie. Atutatulie hili jamni!!!
Dada yangu hapo hamna namna,tutakatwa tu hiyo pesa,maana bunge letu tukufu lilishaipitisha kuwa sheria,na mh.Rais ameshatia sahihi yake ili sheria ianze kutekelezwa,kwa hiyo hata tupige kelele kwa machozi ya damu watatekeleza sheria,kuibatilisha ni mpaka bunge likae na kuifanyia marekebisho tena sheria husika,otherwise kelele zetu zooote ni bure tu,INAUMIZA SANA KWA KWELI,HII ITATUFANYA TUAIBIKE SANA MITAANI WATUMISHI WA UMMA,kwa sababu watu wengine wamebakiwa na take home chini ya laki tatu baada ya kuchukua mikopo kwenye taasisi za fedha ili walau kutatua matatizo kadhaa yanayowakabili,bodi ikiongeza makato na kupunguza hiyo laki tatu hakika itakuwa janga,gharama za umeme zimekuwa juu kweli(kwangu nalipia elfu hamsini kila mwezi,umeme pekee wakati mwaka jana ilikuwa elfu 30 kwa mwezi,matumizi yangu hayajaongezeka hata kidogo),pango za nyumba ndo usiseme,kuna gharama za maji,sijui takataka,mara ulinzi shirikishi etc,Labda suluhu sasa itakuwa kuhamia nyumba zisizo na umeme,ambazo kwa maeneo ya mijini kuzipata ni kazi kweli kweli,utalazimika kuzifuata nje ya mji,ambapo matokeo yake watu tutachelewa sana kufika maeneo yetu ya kazi na kupelekea kutumbuliwa au kuzorota kwa ufanisi wa kazi,pamoja msongo mkubwa wa mawazo!!!
 
Pint of correction,sio tu watumishi wa umma,HII ITATUFANYA TUAIBIKE SANA WATUMISHI TUNAOKATWA NA BODI YA MIKOPO,(WA UMMA NA SEKTA BINAFSI)
 
Lakini watu wa nchi hii hawatakagi kusikia wala kubadilikaa!!!Yaani maisha yanazidi kua magumu na degree yangu lakini kw makato haya sasa naenda sambamba na diploma holder!!Mpaka leo hali ni mbaya,,hakuna ongezeko la mshahara kama mkataba nlivojaza,,hakuna lolote,,basi wacha tuisome namba yani Hili li nchi badala ya kupandisha mishahara wanapandisha MAKATO
 
Hii inaitwa redundancy ya lazima kutokana na makato yanayo ongezeka ili fedha zipungue mifukon. Hapo ndio maamuzi magumu yanapotakiwa kifanywa. Hakuna ongezeko la mshahara la kawaida la mwaka pamoja na kupanda madaraja ila makato yanatekezwa bila kukamilika kwa zoezi la uhakiki wa vyeti.
 
Weekend yangu ime haribika baada yakukutana na hii kitu jamani,
View attachment 459597

Baba , mkuu wetu wengine tulishaa anza kulipa deni mwaka watano huu, tunakaribia kumaliza , nakuomba Baba makato yamekua mengi na asilimia kubwa kubwa mpaka tunachanganyikiwa sisi watumishi wako!!!

Molari ya kazi Baba inashuka kila kukikucha, tunaamini wewe nikiongozi wa wanyonge, bas tunaomba huruma yako kuu Baba itufikie sie tusio pandishwa madaraja Baba, tusio na posho Baba, tusio na semina wala warsha,

Mbaya zaid tuka kopa ili tujenge vibanda, maana kwa necha ya kazi yetu ni ngumu kujenga mpaka ustaaafu,

Baba, misongo ya mawazo sasa inaanza kuwa mikubwa baba, tunakatwa bima, matibabu ovyo baba, tunakatwa mifuko ya jamii baba, tunakatwa vyama vya wafanyakazi baba, umaskini wetu na familia zetu kusoma kwa kutumia hii mikopo baba ndo utuponze kweli???

Mi naamini basi sio mbaya ukikata hiyo asilimia 15lakini tunaomba bas utuongezee increment ili tuwe vizuri eee baba!!! Kwa hali hii nawaza nirudi saloon kusuka nywele baba, maaana ni wazi kazi itanishinda, maaana mume ninae ILA na yeye ni kama Mimi TU, msururu wa ndugu na matatizo kama uzijuavyo familia za kiafrika!!!

Sijawai kuwa mpiga dili niliridhika na kamshahara kangu, sasa kukakata ten Baba kanabaki kadogo mpaka aibu kujiita mtumishi, nafwa baba, nafwaaaaaaa, najua siko Mimi TU, tupo wengi baba, twafaaaaaa! Uruma yako ni muhimu baba tunakuomba kupitia utukufu wako!!!

Wako katika kazi, mtumishi wako mtiifu baba,

MARIETHA JOHN!!!!
Sikio la kufa...
 
Ndugu, we unadhani tufanyeje sasa, maana vyama vya wafanyakazi ambavyo vinapaswa kututetea ndo hmna kitu,

Tufanyeje ndugu!!!? Inauma sana!!!
Me nafikiria kabisa kujitoa kwenye chama cha wafanyakazi ili nipunguze hilo gap hivi2 tutakula mawe
 
Kwa hakika anachokitaka toka kwetu ni vilio chuki na simanzi, navyo ameshavipata January ya Matatizo yaja tunaingojea TUCTA ni washenzi sana, wapuuzi mno 51% ya mshahara yote inakatwa juu kwa juu alafu wanakenua tu meno, wengine tulishaanza kukatwa 8% kwa Kipindi kirefu na tulishazoea sasa wanatu double ili tuishi maisha gani? Hakika kwa hili wameukata usingizi wangu kabisaa
Solution ni kujitoa tu kwenye hivi vyama vya wafanyakazi
 
Weekend yangu ime haribika baada yakukutana na hii kitu jamani,
View attachment 459597

Baba , mkuu wetu wengine tulishaa anza kulipa deni mwaka watano huu, tunakaribia kumaliza , nakuomba Baba makato yamekua mengi na asilimia kubwa kubwa mpaka tunachanganyikiwa sisi watumishi wako!!!

Molari ya kazi Baba inashuka kila kukikucha, tunaamini wewe nikiongozi wa wanyonge, bas tunaomba huruma yako kuu Baba itufikie sie tusio pandishwa madaraja Baba, tusio na posho Baba, tusio na semina wala warsha,

Mbaya zaid tuka kopa ili tujenge vibanda, maana kwa necha ya kazi yetu ni ngumu kujenga mpaka ustaaafu,

Baba, misongo ya mawazo sasa inaanza kuwa mikubwa baba, tunakatwa bima, matibabu ovyo baba, tunakatwa mifuko ya jamii baba, tunakatwa vyama vya wafanyakazi baba, umaskini wetu na familia zetu kusoma kwa kutumia hii mikopo baba ndo utuponze kweli???

Mi naamini basi sio mbaya ukikata hiyo asilimia 15lakini tunaomba bas utuongezee increment ili tuwe vizuri eee baba!!! Kwa hali hii nawaza nirudi saloon kusuka nywele baba, maaana ni wazi kazi itanishinda, maaana mume ninae ILA na yeye ni kama Mimi TU, msururu wa ndugu na matatizo kama uzijuavyo familia za kiafrika!!!

Sijawai kuwa mpiga dili niliridhika na kamshahara kangu, sasa kukakata ten Baba kanabaki kadogo mpaka aibu kujiita mtumishi, nafwa baba, nafwaaaaaaa, najua siko Mimi TU, tupo wengi baba, twafaaaaaa! Uruma yako ni muhimu baba tunakuomba kupitia utukufu wako!!!

Wako katika kazi, mtumishi wako mtiifu baba,

MARIETHA JOHN!!!!

You sound like one of my students. How do you do ?
 
Back
Top Bottom