hao hao unawataja wanasheria wengi wao hawakupewa mkopo chuoni walisomeshwa na familia zao sasa wakati ww unakula bata na mkopo wako yy aliwaza atapata vip ada sasa leo ni zamu yake na yy.Tatizo hatuungani kila mtu huona la mwenzake halimuhusu....
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ni adui wetu mkubwa , tuna wahitimu mawakili na wanasheria lakini watakaa mbali ama kwa kupuuza tuu au kwa kuhisi hata akijatwa hiyo 15% haitoathiri kwa kiwango kikubwa uchumi wake.
Kutengana kwetu kutaongeza unyonywaji wa vilivyo haki yetu.
Dunia Uwanja wa Fujo
Siwapi hiyo 15% wanifunge tu
Siwapi hiyo 15% wanifunge tu
Wewe udsm wanasheria walipewa mikopo kabisa labda vilaza.....hao hao unawataja wanasheria wengi wao hawakupewa mkopo chuoni walisomeshwa na familia zao sasa wakati ww unakula bata na mkopo wako yy aliwaza atapata vip ada sasa leo ni zamu yake na yy.
waswahili wanasema mchuma janga hula na wakwao
Kwa hvo unapendkeza wakatwe sh. Ngapi ili wasiwe wajinga....mfano mtu anaelipwa laki 7...akikatwa 15%=105000....je kipind unapewa mkopo kwa muda wa miezi miwili ulipewa sh ngap....maana unatakiwa ulipe deni haraka ili ubaki kua salama....
Madhara ya nchi kuendeshwa kwa matamko badala ya Katiba,sheria,kanuni Na taratibu ilizo jiwekea!Naamini mtukufu raisi ataliona hilo Kama alivyoliona la TANESCO na bili zake!
Hahaaaaaaa! umenichekesha sana eti kula bata.....hao hao unawataja wanasheria wengi wao hawakupewa mkopo chuoni walisomeshwa na familia zao sasa wakati ww unakula bata na mkopo wako yy aliwaza atapata vip ada sasa leo ni zamu yake na yy.
waswahili wanasema mchuma janga hula na wakwao
Na anaye lipwa lak 4 na makato mengine ya kodi na nssf unafikiri atabakia na nini? Tumia akili acha hizoKwa hvo unapendkeza wakatwe sh. Ngapi ili wasiwe wajinga....mfano mtu anaelipwa laki 7...akikatwa 15%=105000....je kipind unapewa mkopo kwa muda wa miezi miwili ulipewa sh ngap....maana unatakiwa ulipe deni haraka ili ubaki kua salama....
Ama kwel kuwa uyaone 15% kwa msahara upi hapa naona bora punda afe ila mzigo ufike na vyama vinavyojiita ni vya wafamyakaz vimekaa kimyaaa kabisaa 15% haipo realist kabisaaa
Mkuu hahahahahaaaa uliposema tutavaa YEBOYEBO KAZINI utaniua kwa kicheko japo na mm mwez huu ntajuta ila nimecheka sanaWafanyakazi tunaelekea kuadhirika, bado kidogo tutaanza kuvaa "yeboyebo" makazini. NO INCREMENT BUT HIGH HESLB LOAN DEDUCTION