Asili ya binadamu ni uovu, wema sio asili ya binadamu

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,853
Ningekaa Tanzania pekee ningesema asili ya mtanzania ningetembea Afrika pekee ningesema asili ya muafrika, basi katika kukaa na binadamu tofauti tofauti

Nikaja kugundua kumbe mwanadamu ni kiumbe chenye tabia ya uovu ambao upo ndani yake tokea kuzaliwa kwake, na ndio maana leo hiyi rafiki yako au jirani yako akikuzidi kwenye kitu au jambo flani utajikuta asili yako inakulazimisha yaani utake, usitake utajizuia kumuonesha una usnichi kwake ila si ndani yako kujizuia

Utajikuta tu unaka wivu flani hivi kakutamani mwenzako aporomoke tuache hilo leo hiyi ukimtendea mtu mema mia ukaja ukafanya baya moja basi hilo baya moja litafunika mema mia zote ulizomfanyia nini tafsiri yake ni kwamba ni kama chui kudhurura mjini huku makazi yake ni porini lazima watu wamshangae na ndio maana leo ukitaka umaarufu wa haraka iwe mtaani kwako kijijin kwenu nk ukifanya jambo baya lazima uwe trending kwasababu utakuwa umerudi kwenye ule uhalisia wake kila binadamu ni muovu.

Ndio mana vyombo vya habari hutoa taarifa
 
Huu ndio ukweli wenyewe ,watakuja hapa na quotation za kijinga sijui blaaa balaaa .....Sisi binadamu Kwa kawaida asili yetu Ni kufanya maovuu tu,tunajilazimisha na kujifunza kufanya mema ....
 
Chuki ni zao la ukosefu Wa emotions intelligence sio kila MTU Ana chuki
mwizi huiba, mzinzi huzini,wote hawa hujutia wanapofumwa na sio wanapotekeleza kabla hawajafumwa na kila binadamu ana uovu wake ila kwakuwa ni siri yake bas hujiona salama kwake mpaka anaposemwa au kulazimishwa aingie kwenye kanuni nyingine,, na kuhukumiwa
 
Back
Top Bottom