MAEMORIA=Memorial (soko la nguo za mitumba pale Moshi,Kilimanjaro).
Soko hilo limo ndani ya uwanja wa makumbusho kwa kiingereza Memorial stadium hivyo wenyeji hupaita Maemoria.
 
IRINGA:
gangilonga- ni kihehe meanz jiwe linaloongea, kuna jiwe kubwa sn mpk leo lipo , ukipaza sauti inatoa mwangwi so wahehe wakaiita gangilonga(jiwe linaloongea)

tosamaganga- meanz tupa mawe, kijiji kiko kilimani, enzi hizo wkt vita ya wajerumani na wahehe , walikuwa wanajificha kilimani then wanasema tosa mawe yaan tupa mawe ili yawapate wajerumani waliopo chini
Baadhi ya vijiji vya jimbo la ismani
Ilambilole = kuna kijiji kinaitwa ilole mvua ikinyesha maji yalikuwa yanatiririka yale maji kwa kihehe wanasema lilamba la ilole hivyo wakaamua kuita ilambilole
mkungugu= aina ya mti
matembo= walifukuza tembo watu wakaanza kuishi
 
Chekelei - Check the Railway
Chekereni - Check the Train
Kariakoo - Carrier Crops (?)
Kilimanjaro - Kilima Kyaro (?)
Lugalo - Alipopigwa Jerumani Emily Von Zelewisky na Jeshi la Mkwawa
Same - Mzungu kila akienda hapo alikuwa anaona kile kitu kiko vilevile (?)
Simba - Kuna mtu aliliwa na simba katika hiyo barabara pale Chuo Kikuu
Ongezea na bunjuu maana yake ni nini?
 
Kuna mwenyeji mmoja wa Kigoma aliwahi kuniambia kuwa ktkt ziwa Tanganyika kuna samaki wawili mashuhuri sana ambao kwa kiha wanaitwa "Itanga" na "Nyika". Mmoja wao inasemekana ana umeme mkali.

K/hiyo, huenda neno "Tanganyika" limetokana na majina ya samaki hao.

Labda Mh. Zitto Kabwe anaweza kutueleza zaidi.

Tanganyika kuna version.nyingi Moja Pwani- Tanga,Nyika -sehemu isiyokuwa pwani yenye mbuga na majani mafupi hivyo wakoloni walikuwa wanatawala pwani hadi sehemu zisizo na pwani hivyo kutoa neno "TANGANYIKA " kwa maana ya Eneo la pwani na nchi kavu 2,Version ya pili inatokana na Samaki Aina ya Nyika aliyekuwa akivuliwa kwakutumia mtego maarufu iutwao Tanga Hivyo mtego wa kuvulia samaki + Samaki mwenyewe vikatengeneza neno Tanganyika
 
Kwa wale ambao wameshawahi kufika Kilombero au Maeneo karibu na bwawa la kuzalishia umeme la Kidatu kuna kitongoji cha Simbalambende inasemekana kuna Mzee mashuuri miaka ya nyuma aliwahi kukaa lile eneo anaitwa Simbalambende
 
Mbagala kulikuwa m shamba la muitaly ambako aliweka bango lenye bendera ya Italy yenye rangi tatu basi watu wakienda kibaruani wanaenda mbagala kwenye rangi tatu then ikaja mbagala rangi tatu
 
Dar Es Salaam - Bandar u Salaam - Bandari Salama

Kariakoo - Carrier corpes-wabebaji wa mizigo sokoni "Kariakoo" waswahili wakashindwa na kuamua kuunga

Msasani - Musa Hassan-Mnyapara aliyekuwa akisimamia mashamba ya katani ambaye asili yake ni Ntwala (Mtwara) hivyo wamakonde wengi wakaamua kuja kumuomba kazi na kwa kwa kuwa walikuwa hawajui anapoishi waliuliza kwa Mucha Hachani....Msasani imeungwa

Mikocheni - Michael Chain Mmiliki wa mashamba ya katani yalliyokuwa yanaanzai palipo na Daraja la John Selander (Salenda Bridge)

Kawe - actaully ni Cow Way, barabara maarfuru kwa kusagwa ng'ombe kufikishwa hapo Tangaynyika Packers kwa machinjo hence Cow-way (kawe imeungwa)

Kigogo (ni kigogo kabisa cha kuvuka pale kigogo mwisho kila Jumaosi walikuwa wanakusnayika kukiweka.."jamani leo siku ya kigogo"...(leo pamejengwa daraja)

Tabata...Muarabu aliyekuwa ananunua korosho kwa mali kauli na kuwaahdi wachuuzi waje siku fulani watalipwa kwa kuwaambi "hapana tabu tabata (utapata pesa yako) akabatizwa jina la Mwarabau Tabata....

Ilala..linatokana na makaburi ya pale Karume ambako hakukua na mengine hivyo kila alasiri watu walikuwa wakienda kuzika na wimbo wa Haila Illallah!!! (ILALA)

Ubungo, Bungoni, Mikoroshini na Mabibo ni miti mingi ya matunda hayo yalikuwa yakipatikana katika maeneo hayo

Kunduchi....mtu aliyeonekana kutembea uchi maeneo hayo.

Je, unajua jina la sehemu unayoishi lilitokana na nini? ?

Je, unajua jina la sehemu unayoishi lilitokana na nini?
 
Kiboriloni...keep rolling
Arusha... rarusa(kimaasai) mzungu akashindwa kutamka
Mzumbe...ensumbe mzungu alishindwa kutamka..hii inahistoria kidogo mpaka naona uvivu kuandika.
Olduvai...Oldupai
Cairo....gailo kimaasai(sina uhakika)
 
1.KIBORILONI & KIBOSHO[MOSHI].
Kiboriloni ni neno lililotokana na maneno mawili KIBO ALONE. Hii ilikuwa sehemu ambapo wazungu walisimama na kuona kilele cha Kibo pekee bila kukiona kilele cha Mawenzi, Kibo na Mawenzi ni vilele vya Mt. Kilimanjaro.Kibosho lilitokana na maneno KIBO SHOW, hii ni sehemu ambapo Kibo kilionekana vizuri zaidi.

2.KARIAKOO.
Inasemekana Kariakoo ilikuwa kituo cha Askari wa kikoloni CARRIER COP, Wabantu wakarahisisha kwa kupaita Kariakoo.

3.KOLOMIJE[BUNDA].
Inasemekana mahali hapo alifika Mzungu aliyeitwa James.Yule Mzungu akataka watu wamwiite 'J' badala ya kutamka jina lote. Hivyo akawaambia CALL ME J, wabantu wakatamka KOLOMIJE na kutengeneza jina la lile eneo.

4.CHEKERENI[MOSHI].
Hili ni eneo ambapo barabara inakatiza kwenye reli.Sasa wazungu waliweka alama ya bararani ya tahadhari kabla ya kuvuka reli CHECK THE LINE, watu wakatamka CHEKERENI na kuliita hivyo lile eneo hadi leo.

5.NEWALA [MTWARA].
Inasemekana kwamba waingereza walipofika Mtwara walikuta kisima kilichojengwa na wajerumani ambacho kilikuwa cha kizamani kwa wakati huo.Hivyo walijenga kisima kipya na kukiita NEW WELL, watanganyika wakatamka NEWALA, hatimaye likawa jina la ile sehemu.

N:B SOURCE yake ni HEARSAY STORIES....unaweza kusahihisha ama kuongeza majina mengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom