Asha Rose Migiro achukue nafasi ya Pinda

mtatuangamiza mkimweka huyu mama. huu uwaziri mkuu anyang'anywe Pinda apewe Mh. Magufuli
 
Mwandosya alikuwa na Ban KImoon in one of the meeting kuhusu mambo ya mazingira alimpenda na alimpromise icho kiti!
Ilo ombi lilipoletwa kwa mkuu wa kaya akjifanya kumchinjia baharini Mwandosya na kumpa huyu mama sasa aibu imemkuta kwa kutimuliwa bse she was not fit for the post,the post is to high for her

DAh JK ana fitna akamtosa Mwandosya duh inawezekana huyo aliyepelekwa ni ...... wake
 
Nadhan sasa niwakat muafaka kwa aliekua naibu wa katibu mkuu wa UN kutumikia taifa lake

ona.magamba @work.umetumwa wewe!?.nchi ilipo sasa sio ya kupewa gamba la kike.wala la kiume. Ni zamu ya magwanda.kukomesha magamba yote.kama YEHU.wa kwenye bible alivyokomesha waabudu sanamu wote mwishoni mwa uhai wa mwanamke mzinzi .yezebel.hata hvyo.ni laana katika taifa lolote kuongozwa na mwanamke.bible ilisema.kwa kuwa mwanamke umekula tunda.(serpent alimjua.akazaa kaini toka kwa nyoka.Mungu alisema mwanaume atakutawala siku za maisha yako yote).sory kama naudh ila nimenukuu ili kubrief kwamba gamba la kike kututawala laana.
 
Mwandosya alikuwa na Ban KImoon in one of the meeting kuhusu mambo ya mazingira alimpenda na alimpromise icho kiti!
Ilo ombi lilipoletwa kwa mkuu wa kaya akjifanya kumchinjia baharini Mwandosya na kumpa huyu mama sasa aibu imemkuta kwa kutimuliwa bse she was not fit for the post,the post is to high for her

Habari hii si kweli hata kidogo..chaguo la migiro si la kikwete ila ban kimoon,Rais hana ubavu huo
OTIS
 
Kwanza lazima ateuliwe na prezdar kuwa mbunge,sasa nafasi 10 za prezdar si kazimaliza au?

Boss Waziri mkuu ni lazima awe mbunge wa kutoka jimbo la uchaguzi! Katiba yetu haiko hovyo kiivyo! Iliyaona haya - ya uwezekano wa mtu kumteua swahiba wake ubunge then uwaziri mkuu!
 
Mbona Huyu Mama Mkataba ulisitishwa kwa sababu ya Poor Perfomance? Jamani Hii Ncchi Tunataka kuiweka rehani Kihivyo!! Oh Mungu Tuokoe
 
Nadhan sasa niwakat muafaka kwa aliekua naibu wa katibu mkuu wa UN kutumikia taifa lake

If u don't have hysteria then u hv epilepsy.... IQ lowest ever seen..... Asha... bomu kabisa ww..... empty minded...
 
sio sababu ya jinsia yake ni kwa sababu ya uwezo wake katika uongozi kama dunia imetambua uwezo wake na kumtumia sio sababu ya sisi kutomtumia

Acha kupiga kelele, uwezo gani?? mbona kafutwa kazi UN??????
 
...Wanawake TZ...NEVER... Spika kashawaharibia. Hata mkiwezeshwa hamuwezi...
Hatuko tayari tena rudia makosa.
 
Atutamchagua mtu kutokana na jinsia yake na hatutamnyima mtu nafasi kutokanana jinsia yake. Ni vizuri tujiulize huyu mama amefanikiwa nini katika nafasi yake ya UN?
 
Back
Top Bottom