Asha Rose Migiro achukue nafasi ya Pinda

thinka

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
334
148
Nadhan sasa niwakat muafaka kwa aliekua naibu wa katibu mkuu wa UN kutumikia taifa lake
 
toa sababu..hatutaki uje na hoja "eti kwa sababu ni mwanamke!" Hii nchi yetu imeshanyiwa majaribio sana!!!
 
Kwanza lazima ateuliwe na prezdar kuwa mbunge,sasa nafasi 10 za prezdar si kazimaliza au?
 
hata katiba huijui, PM ni mbunge kutoka jimbini sio viti maalunu wala kuteuliwa na raisi katika nafasi zake 10
 
sio sababu ya jinsia yake ni kwa sababu ya uwezo wake katika uongozi kama dunia imetambua uwezo wake na kumtumia sio sababu ya sisi kutomtumia
 
Ili kuteuliwa kuwa PM ni lazima huwe mbunge wa kuchaguliwa kutoka ktk jimbo toka miongoni wa chama chenye wabunge wengi Bungeni.
 
Yaani nilipopata file la huyu mama kuwa hii nafasi ilibidi iwe ya Mwandosya yaani moyoni nkajisemea no wonder Ban Kimoon ameamua kumpiga chini.
Baada nikaenda mbali zaidi juu ya maisha yake pale mlimani ndo nkachoka kabisa!
 
Mama huyu UN katuletea aibu tu
Nafasi pekee awezayo kamata labda ya kufundisha chuo
OTIS
 
Nadhan sasa niwakat muafaka kwa aliekua naibu wa katibu mkuu wa UN kutumikia taifa lake

Katiba ya nchi haimruhusu Dr Migiro kuwa Waziri Mkuu kwa sasa, kwasababu, Katiba inatamka bayana kwamba Waziri Mkuu atatoka miongoni Wabunge wa Kuchaguliwa Kutoka Jimboni. Wabunge wa viti maalum, au wa kuteuliwa na Rais hawawezi kushika nafasi hiyo. Hivyo mjadala huu hauna tija!
 
Salaaam usala wa usalatoooooooooo!

Topic Closed.
 
Mwandosya alikuwa na Ban KImoon in one of the meeting kuhusu mambo ya mazingira alimpenda na alimpromise icho kiti!
Ilo ombi lilipoletwa kwa mkuu wa kaya akjifanya kumchinjia baharini Mwandosya na kumpa huyu mama sasa aibu imemkuta kwa kutimuliwa bse she was not fit for the post,the post is to high for her
 
Nadhan sasa niwakat muafaka kwa aliekua naibu wa katibu mkuu wa UN kutumikia taifa lake

migiro is a 33rd degree failure the earth has ever produced, i dont think it is wise to let this failure lead us if we want to succeed! No wonder jk is incompetent and always love to be surrounded by the real incompetent, he may definately pick her as PM!
 
una Cha Migiro sijui nani wote wana tabia moja kufichiana uozo na madhambi wanayofanya, hiyo ndo itikadi ya CCM, na juu ya yote libeneke la UN lilimshinda akawa mzigo kwa Ban ki Moon sasa nani anataka watu legelege tena? akaongoze jumuiya ya CCM na si hii nchi
 
Back
Top Bottom