Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

nasikitikaa

Member
Apr 20, 2012
47
24
Salaaaaaaam!
Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwenu,kwa kazi nzuri ya
kuweza kuweka jukwaa la wapendanao,hatimae na mimi nimempata
mpenzi wa moyo kwa sifa zilezile nilizotoa!
Pia nawashukuru wote walioniPM na kupenda wawe na mimi nao nawashukuru sana,
kwani waliniamini na mimi sina budi kusema aksante kwao,ila pole kwa kuwa
nafasi ilikuwa moja tu isingewezekana kwa wengine japo nao walikuwa
na lengo na nia njema.Mchango wao kwangu utaishi ndani yangu milele.
Special thanks goes to my loving husband to be!
(James!)my love for you is unconditional and promise to love you the same way!
Till Death do us part.
Wishing all the best Jamii FORUM GROUP,coz you deserve the best for your
support,love and hospitality along the way!
With love!
 
Mhhhhhh! Hongera zenu...mie nawatakia kila la heri na baraka katika safari yenu hii hatimaye mfanikiwe kufunga pingu za maisha.

Last edited by a moderator:
Hongereni sana,all the best, Mungu awaongoze mfikie malengo yenu..
 
Mhhhhhh! Hongera zenu...mie nawatakia kila la heri na baraka katika safari yenu hii hatimaye mfanikiwe kufunga pingu za maisha.

Bak!!!!! aksante sana,nilipoanza safari ulikuwa pamoja
na mimi na ukanitakia pongezi,nashukuru sana kwa Maombi yako
you are a living water!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mzee unakaba kila kona...lol!!

Rejao mtu wangu kuna jamaa namtafuta sana humu jamvini, anakula vitu vya watu na sasa hivi anataka kujihalalishia. ndio maana na scan kila sehemu.
 
Last edited by a moderator:
Hongera! Mungu na aendelee kukupa haja ya moyo wako. Nakutakia kila la heri.
 
nasikitika nakutakia kila la kheri sana mtu wangu tusinyimane kadi za harusi.
 
Last edited by a moderator:
purple,aksante sana,hope tupo pamoja sana,kwa kila hatua,
Mungu akubariki na uzidi kutuombea tufanikishe malengo!
 
nasikitika nakutakia kila la kheri sana mtu wangu tusinyimane kadi za harusi.

Ivuga,tuko pamoja,shemeji yenu akiridhia tutatoa picha zetu live,ni kwamba
hakuna utani,maisha ndo haya,tusijidanganye kwamba kuna sehemu nyingine
so mtu ukipata chance itumie,huo ndo ushauri wangu kwa wengine
ambao bado,MUngu ni muweza wa yote!Kuhusu kadi usijali panapo
majaliwa ya Mungu ni Dec ,so tutapanga vizuri ili wengi muwepo!jf juuuuuuuu!
 
Nasikitikaa, hongera sana mwaya, I am so happy for you
Hayo maneno umemwekea Saint Ivuga yamenigusa sana
Mwambie huyo kua mtu akipata chance lasima atumie
Yeye kapewa nafasi akachezea, sasa anajifanya kurudi...
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika Hongera sana kwa kumpata Eng James. Mungu awatangulie katika safari ya meli ya wapendanao. nilikupm hukujibu haya bwana.
 
Badili na ID kabisa uache kusikitikaa, iwe Nafurahia ili tuje tupambe siku zijazo.
 
Hongera sana. Ila nilitamani uwe wangu lakini ndohvo nafac ilikuwa1. Nilijitahidi kuku pm bt ukawa kimya. Ok tuendelee kujuzana kwa kila kinachoendelea.
 
Hongera sana. Ila nilitamani uwe wangu lakini ndohvo nafac ilikuwa1. Nilijitahidi kuku pm bt ukawa kimya. Ok tuendelee kujuzana kwa kila kinachoendelea.

Waharibifu mmeanza. Khah!
Si amewashukuru na kuwaimba radhi? Nawe weka bandiko lako, watu watume application!
 
Back
Top Bottom