Asanteni wana jamii forum,nimeshapata mpenzi wa maisha!

Hongera mwaya; Mungu awayangulie kwenye hatua yenu ya kwanza ya kujuana!

James, umepata dhahabu. The fact kuwa amejitangaza inaonesha anajua nini anachokitaka kwenye life, na maybe anaweza kuwa desparate na si kwamba she couldn't have anybody. So naamini nawe ni mature na unajua unachotaka! Si busara, wala utu, wala ustasrabu na wala uanaume; kucheza na feelings za mtu. Hivyo bro tuko nyuma yako na ur new found love katika process zote za kufamiana, kupendana na kuishi pamoja!

Nawatakia wote, mafanikio na furaha za kuzidi!
Enjoy it!
Im so happy with your lovely words and advice!
It seem you are a kind hearted person,I real appreciate'
Hope we will be together soon for the celebration
later this year!
 
raha eeeh,mie napenda kujua huwa mnawachujaje mpaka unaona huyu anafaa i mean unajuaje huyo uliyoopoa ndio mwenywe na sio kimeo....nataka mauzoefu ili nikijitosa nisipate tabu...:glasses-nerdy::glasses-nerdy: all in all hongera.....:A S 41:
 
Hongera zenu. ILA KWA SISI TULIOA TUNAAMINI MAPENZI HUWA HAYAJI GHAFLA HIVYO LABDA YAWE YANA NGUVU YA MAULANA. ningependa iwe kama kwenye red. Hongereni sana

Worry not my Brother,sisi tumemtanguliza Mungu mbele
kwa kila hatua,ivyo hatuna shaka yoyote na ni Mungu
tu aliyetuunganisha,japo njia ilikuwa ni hii ya JF
Thanxs again for your support and advice along the way!
 
wewe binti kwanini usiwe mkweli? jana umemjibu Mshawa eti mpenzi wako anakupa mapenzi ya mtoto wa kwanza halafu eti anafuata masharti yako na ndoa mnafunga december ukamaliza na James ndo anajua hujachakachuliwa.
Ndani ya siku nne umeshapata mchumba na mwezi wa kufunga ndoa tayari? Hadi hapo nshajua wewe ni mtu wa namna gani.
Unataka kusema wanaume wa jf ni wepesi kama maharage ya mbeya?
Niache kidogo nasikitikaa
 
Last edited by a moderator:
seriously if JF found u a husband, then babygirl u r special and God is watching over you... hongera sana!!! now Usiwe unajiita nasikitika maneno huumba.... hebu jiite furaha basi teh teh teh teh....cheers!!
 
raha eeeh,mie napenda kujua huwa mnawachujaje mpaka unaona huyu anafaa i mean unajuaje huyo uliyoopoa ndio mwenywe na sio kimeo....nataka mauzoefu ili nikijitosa nisipate tabu...:glasses-nerdy::glasses-nerdy: all in all hongera.....:A S 41:
Jambo la kwanza ni kupiga magoti na kumwomba Mungu.Then,ukipata
chance kama hii na watu mbalimbali wakatokea kupenda kuwa na wewe
usibabaike,mfano mimi,walitokea wote unaowajua wewe,wa kada mba
limbali na kutoka nchi mbalimbali ulaya na Amerika,hapo ndo nilitumia
kitu kinachoitwa STRENGTH OF THE WOMAN,nikamwomba Mungu sana
mana nilikuwa serious na kumpata mpenzi wa maisha na si wa mchezo,
na sikubabaika na vyote,na ha kwanza niliongea na moyo je ni nana moyo
wangu umempenda?aliye serious zaidi,mwenye uhitaji wa mwenza zaidi
na sio siri ni ndani ya Muda mfupi nikagundua ni Eng James,he deserve to
be mine.Na sikuwapa chance wengi wanipigie simu au kuniona,nilipenda
zaidi wanitumie picha kwanza nami nikatuma,James ana mapenzi ya dhati
na nimwelewa,anafuata ushauri wote na kufuata njia iliyonyooka.
 
nasikitika, Hongera sana kwa hatua hiyo ya week chache na MUNGU awajalie kutimiza ndoto zenu.
 
Last edited by a moderator:
seriously if JF found u a husband, then babygirl u r special and God is watching over you... hongera sana!!! now Usiwe unajiita nasikitika maneno huumba.... hebu jiite furaha basi teh teh teh teh....cheers!!

Thanxs dear,I will soon change the name,and let you know.
thanxs for your compliment,Yes im so special I may say,Jf is my everything!
 
wewe binti kwanini usiwe mkweli? jana umemjibu Mshawa eti mpenzi wako anakupa mapenzi ya mtoto wa kwanza halafu eti anafuata masharti yako na ndoa mnafunga december ukamaliza na James ndo anajua hujachakachuliwa.
Ndani ya siku nne umeshapata mchumba na mwezi wa kufunga ndoa tayari? Hadi hapo nshajua wewe ni mtu wa namna gani.
Unataka kusema wanaume wa jf ni wepesi kama maharage ya mbeya?
Niache kidogo nasikitikaa
Dudu,naomba rudia tena kuisoma ile message,nilisema nimeshampata mpenzi
Eng James na ananipa mapenzi kama ya mama na mtoto wake wa kwanza
katika mabano nikaweka(si mapenzi ya kitandani)nikimaanisha anavyonitreat
ni kama mtoto mdogo,ananibembeleza,kuja kila mara nipo wapi,nafanya nini
je nimekula,yaani kila mara ni kama nipo nae,ni mstaarabu,mwenye mapenzi
ya dhati ni mkweli na si mbabaishaji,unajua most of people believe that
the longer you stay in any relationship is the best,Noooop! even within short time
you can tell if the person you are dealing with is just a Crimina or what.
so my friend,mipango ipo na imeanza,subiri kadi.Aksante.
 
Jambo la kwanza ni kupiga magoti na kumwomba Mungu.Then,ukipata
chance kama hii na watu mbalimbali wakatokea kupenda kuwa na wewe
usibabaike,mfano mimi,walitokea wote unaowajua wewe,wa kada mba
limbali na kutoka nchi mbalimbali ulaya na Amerika,hapo ndo nilitumia
kitu kinachoitwa STRENGTH OF THE WOMAN,nikamwomba Mungu sana
mana nilikuwa serious na kumpata mpenzi wa maisha na si wa mchezo,
na sikubabaika na vyote,na ha kwanza niliongea na moyo je ni nana moyo
wangu umempenda?aliye serious zaidi,mwenye uhitaji wa mwenza zaidi
na sio siri ni ndani ya Muda mfupi nikagundua ni Eng James,he deserve to
be mine.Na sikuwapa chance wengi wanipigie simu au kuniona,nilipenda
zaidi wanitumie picha kwanza nami nikatuma,James ana mapenzi ya dhati
na nimwelewa,anafuata ushauri wote na kufuata njia iliyonyooka.

Look very Look very dada mwanamme ni dhamana!
 
Its too early Nasikitikaa my dear sister to jump into conclusion! Remember at this time you will get soft treatment than before. You need to be carefull as this is a common trick used by men to track women. Set enough time and try to abstain from having sex.
 
Back
Top Bottom