Asante sana kwa wale wanaovujisha siri za ccm

mwakabana

Member
Dec 15, 2010
31
7
Watu wanasema kuwa kila kitu ukiwa unafanya lazima kiwe na Malengo, Nimekuwa mdau kidogo wa kuangalia MOVIE za muendelezo. Asilimia nyingi ya hizi movie zinafanikisha kazi za kupendwa lazima awepo MSALITI ili starling afanikishe mission au mlengwa apewe kibano cha nguvu. Sasa kwa jinsi ninavyoichukia ccm na kutofungamana na chama chochote napenda sana hao wanaovujisha siri waendelee. Ujue move ya kuwakwangua hao magamba inafikia ukingoni ambapo starling(watanzania watashinda tuu muda si mrefuuuuu)
 
Yaani nikimjua mvujisha siri za CCM nitampa mshahara wangu wa mwezi mmoja
 
Watu wanasema kuwa kila kitu ukiwa unafanya lazima kiwe na Malengo, Nimekuwa mdau kidogo wa kuangalia MOVIE za muendelezo. Asilimia nyingi ya hizi movie zinafanikisha kazi za kupendwa lazima awepo MSALITI ili starling afanikishe mission au mlengwa apewe kibano cha nguvu. Sasa kwa jinsi ninavyoichukia ccm na kutofungamana na chama chochote napenda sana hao wanaovujisha siri waendelee. Ujue move ya kuwakwangua hao magamba inafikia ukingoni ambapo starling(watanzania watashinda tuu muda si mrefuuuuu)

Kauli mbiu ya "kidumu chama" imekua mwiba mkali sana kwa magamba.
Na ndo mana kime fail kuzuia siri kuvuja.
Watambulishe kauli mbiu ya ndoo chama na si kidumu tena.mana ni kidogo kubeba siri za chama.
 
Watu wanasema kuwa kila kitu ukiwa unafanya lazima kiwe na Malengo, Nimekuwa mdau kidogo wa kuangalia MOVIE za muendelezo. Asilimia nyingi ya hizi movie zinafanikisha kazi za kupendwa lazima awepo MSALITI ili starling afanikishe mission au mlengwa apewe kibano cha nguvu. Sasa kwa jinsi ninavyoichukia ccm na kutofungamana na chama chochote napenda sana hao wanaovujisha siri waendelee. Ujue move ya kuwakwangua hao magamba inafikia ukingoni ambapo starling(watanzania watashinda tuu muda si mrefuuuuu)
Mkuu,jana nilimsikia nape akikana minutes za kikao,zilizochapishwa kwenye baadhi ya magazeti!alisema zinahusu mjadala wa katiba.nahisi zilikuwa mwiba na zilifichua siri juu ya njama waliyonayo ya kutaka kuchakachua katiba!sijafanikiwa kuona hiyo kitu.walioona tafadhali tupeni data!zilihusu nini hasa!
 
Kuvuja kwa siri ndani ya taasisi yeyote ni ishara kwamba mambo hayaendi sawa ndani ya taasisi yenyewe na watu hawaridhiki na mwendo wa taasisi yao.
 
Mimi ninawasiwasi na Nape huwa haaminiki tangu atutangazie matokeo ya Igunga na kuyaruka sina Imani nae kama Mwenyekiti wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom