FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,211
nadhani wewe ni moja ya Mafisadi unachosifia wenzio hatukioni. Kila unachosifia kilianza wakati wa Mkapa huyo jamaa yako yeye anazindua tu.
Wapiii!
nadhani wewe ni moja ya Mafisadi unachosifia wenzio hatukioni. Kila unachosifia kilianza wakati wa Mkapa huyo jamaa yako yeye anazindua tu.
Rais huyu ni bora zaidi ya awamu zote..
1.anaunganisha mikoa yoote ya tz kwa barabara zenye kiwango cha lami..
2. hajayaonea aibu mafisadi anayashitaki...
3. Ni mvumilivu mnooo.. licha kauli chafu anazozipata toka kwa watu wasiopenda maendeleo..(CDM)...hata umu JF wapo..angekua ni rais mwingine angesha funga mitandao hii ya kijamii...
4. kigamboni daraja laaza jengwa december.... na mengine meengi mazuri anayoendelea kuyafanya...
UMEREJESHA IMANI KWA WATANZANIA BABA.... Asante saana..
CDM karibuni kunipinga.. viumbe msio na shukrani.....wanafiki..msio jua jema na baya..