Asante baada ya kula

22nd

JF-Expert Member
Aug 1, 2010
495
137
hello guys!!
naomba mnisaidie kwa hili,ni kawaida(mila na desturi) ukimaliza kula lazima useme asante kwa chakula.
swali ni hili:
Ni yupi anastahili kupewa asante?
aliyepika chakula au aliyenunua chakula?

kutokana na makuzi yangu maisha yote tulikuwa na house girl,kwahiyo hata yeye akipika tunampa asante na mama na baba wanampa asante pia.

ila kuna nyumba nyengine nimetembelea, asante mnaenda kumpa aliyenunua chakula, i mean baba au mama, bila ya kujali yule mtu aliyepika.

hapa imekaaje?
naomba mawazo,nani anastahili hii asante?
 
Aliyepika na aliyetafuta bila kusahau aliyekula nae anastahili ahsante.
 
Back
Top Bottom