As Thika Road, Mombasa Road and Waiyaki way BRT are under construction, Scania East Africa ventures into production of High capacity buses in Nairobi

Mmeona ujinga baada ya kupata pa kugezea...
Hatujaona ujinga bali ni ukweli tunasema. Hii hapa ni scania, more powerful and reliable engine and frame, wider body, more stable frame na iko na kiingilio cha walemavu, wheel chair and bicycles. Huwezi ilinganisha na hizo Golden Dragon zenu za kawaida. Sisemi ni mbovu ila hazifikii hizi Scania.
 
Unahitaji power ya nn kwenye brt mzee..au brt yenu inaenda mikoani? Labda uniambie durability..
Basi zetu pia inasehemu maalumu kwanajili ya walemavu na wenye nahitaji maalumu kama wazee na wajawazito. Hapo ni sehemu ya walemavu...baisikeli inafungwa hapo Ile ya miguu mitatu
IMG_20210324_071444.jpg

IMG_20210324_071503.jpg
 
Unahitaji power ya nn kwenye brt mzee..au brt yenu inaenda mikoani? Labda uniambie durability..
Basi zetu pia inasehemu maalumu kwanajili ya walemavu na wenye nahitaji maalumu kama wazee na wajawazito. Hapo ni sehemu ya walemavu...baisikeli inafungwa hapo Ile ya miguu mitatuView attachment 1733012
View attachment 1733010
Do your buses have wide doors and ramps for wheel chairs? See, this is what I'm talking about.

Scania-2-1024x682.jpg
Scania.jpg

Saying BRT needs no powerful engine to rubbish the Scania's superiority over Golden Dragon is like saying our towns do not need powerful engines to rubbish Mercedes S-Class' superiority over probox.
 
Do your buses have wide doors and ramps for wheel chairs? See, this is what I'm talking about.

View attachment 1733494View attachment 1733495

Cha muhimu kufahamu ni kwamba...Vituo vyetu havipo Chini..vipo elevated..na mlemavu anaweza ingia kwa bus bila shida coz bus zima very wide doors..you can even go in with your ist..
IMG_20210324_215716.jpg
IMG_20210324_215657.jpg
IMG_20210324_215637.jpg
 
Do your buses have wide doors and ramps for wheel chairs? See, this is what I'm talking about.

View attachment 1733494View attachment 1733495

Saying BRT needs no powerful engine to rubbish the Scania's superiority over Golden Dragon is like saying our towns do not need powerful engines to rubbish Mercedes S-Class' superiority over probox.
Brt hazina mashindano..they have their own roads they have their maximum speed kwamba hazipaswi kuzidisha...sijaelewa hiyo power kubwa unataka zifanyie nini...na hizo spec kubwa ndizo zitakazowafanya mpigwe Tena kwenye huo mradi..coz wanajua hamjui.
 
H

Hapa nyinyi mko na ramps kwasababu hamna vituo elevated kama vya kwetuu we bado hujui ilo😂😂😂 watu hamna vituo nndio maana mna ramps ngojeeni phase 2 iishe ndio mje muuone maajabu ya tz
 
To our brt system rump's are useless
Ramps are never useless. Our BRT stations will be elevated too just like all BRT stations around the world but whether elevated or not, you need a ramp to get a wheelchair into a bus without struggle. The bus is not going to clamp itself to the platform for heaven's sake. Just accept your buses are not as advanced as ours. Sijui unapingana nini. Nimekutolea mfano, just because you can move around in a probox hapo Dar does it mean a probox is as good as a Mercedes S Class?
 
Brt hazina mashindano..they have their own roads they have their maximum speed kwamba hazipaswi kuzidisha...sijaelewa hiyo power kubwa unataka zifanyie nini...na hizo spec kubwa ndizo zitakazowafanya mpigwe Tena kwenye huo mradi..coz wanajua hamjui.
At least you have accepted our buses have specs kubwa. Hayo mengine ni maneno ya mkosaji.
 
Ramps are never useless. Our BRT stations will be elevated too just like all BRT stations around the world but whether elevated or not, you need a ramp to get a wheelchair into a bus without struggle. The bus is not going to clamp itself to the platform for heaven's sake. Just accept your buses are not as advanced as ours. Sijui unapingana nini. Nimekutolea mfano, just because you can move around in a probox hapo Dar does it mean a probox is as good as a Mercedes S Class?
Mkuu...tatizo unabisha kitu ambacho hukijui...our brt system imejengewa in such a way hizo rump's hazina kazi...chochote kinaweza ingia na kutoka ndani ya gari bila shida yeyote..nmekuwekea picha hapo lakini kutokana na uvivu wako hutaki ata kuangalia..
IMG_20210321_174717.jpg
IMG_20210324_215637.jpg
 
H
Hapa nyinyi mko na ramps kwasababu hamna vituo elevated kama vya kwetuu we bado hujui ilo😂😂😂 watu hamna vituo nndio maana mna ramps ngojeeni phase 2 iishe ndio mje muuone maajabu ya tz
Jamaa namuelewesha lakini bado mbishi.tatizo wamezoea kupanda zile ngalangala zao zenye ngazi kama unapanda ghorofs.
 
Mkuu...tatizo unabisha kitu ambacho hukijui...our brt system imejengewa in such a way hizo rump's hazina kazi...chochote kinaweza ingia na kutoka ndani ya gari bila shida yeyote..nmekuwekea picha hapo lakini kutokana na uvivu wako hutaki ata kuangalia..
View attachment 1734087View attachment 1734088
Boss, all BRTs have elevated platforms, your BRT is not special. Sijui mbona wabongo mnakuanga wagumu kuelewa simple things. All BRTS are elevated and yet the ramp is provided for buses. Mbona unapingana kitu obvious? Your buses don't have ramps. Stop making excuses for them.
 
Dah aseee..haya bhana...ngoja nikuache
 
Boss, all BRTs have elevated platforms, your BRT is not special. Sijui mbona wabongo mnakuanga wagumu kuelewa simple things. All BRTS are elevated and yet the ramp is provided for buses. Mbona unapingana kitu obvious? Your buses don't have ramps. Stop making excuses for them.
As it is right now wheelchairs zinaingia bila shida yoyote ile sasa embu tuambie hiyo ramp iwekwe kwa sababu zipi exactly?
Ramps are never useless. Our BRT stations will be elevated too just like all BRT stations around the world but whether elevated or not, you need a ramp to get a wheelchair into a bus without struggle. The bus is not going to clamp itself to the platform for heaven's sake. Just accept your buses are not as advanced as ours. Sijui unapingana nini. Nimekutolea mfano, just because you can move around in a probox hapo Dar does it mean a probox is as good as a Mercedes S Class?
Sgr train yenu ina ramp? Or does it clamp itself to the platform?
 
Back
Top Bottom