Arusha; Wenyeviti wa vitogoji 16 kupitia CCM kuhamia Chadema

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Akihojiwa na capital Radio Godless lema amesema kuna wenyeviti wa vitogoji 16 hapa mjini Arusha wanamsubili ali warudishe kadi za CCM kujiunga na chadema. Tanzania tujiandae kwa chaguzi mbali mbali pengine hata uchaguzi wa raisi unaweza kufanyika karibuni maana kuna kila ishara kuwa hata Kikwete ana tamani kuhamia CHADEMA.

wakati huo huo
===========
Wanachama wa ccm wakiwemo wenyeviti 2402 wa vitongoji vitano wilayani ngorongoro, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chadema,na tayari wamebwaga kadi zao za ccm katika ofisi za chadema zilizopo wilayani humo na kukabidhiwa za chadema.

Tarifa hiyo imetolewa na katibu wa chadema mkoa wa Arusha Amani Golugwa.
 
Akihojiwa na capital Radio Godless lema amesema kuna wenyeviti wa vitogoji 16 hapa mjini Arusha wanamsubili ali warudishe kadi za CCM kujiunga na chadema. Tanzania tujiandae kwa chaguzi mbali mbali pengine hata uchaguzi wa raisi unaweza kufanyika karibuni maana kuna kila ishara kuwa hata Kikwete ana tamani kuhamia CHADEMA.

kwani yupo wapi?
 
haya sasa!!!! walete walete!!!!! watu wameshaamka! sasa wameziona mbivu!!! peoplessssssssss poweeeeeeeeeeer!!!
 
Sasa ina maana Jimbo la Arusha hata CCM Infanyeje litabaki CHADEMA

Hao Viongozi wote kukimbilia CHADEMA itakuwa rahisi Wananchi kushawishika kuichagua CHADEMA
 
Dhuluma ni kitendo kibaya sana kitendwe na mtu mmoja mmoja ama na serikali na anguko la serikali dhulumati huwa ni anguko kuu na baya. Serikali imewadhulu yatima waliokuwa wanapatiwa mahitaji yao na Lema. Najua Mungu si wa visasi lakini huwa anatoa funzo ninauhakika kwa hili atawafundisha wote waliofanya kitendo kile.
 
Mkuu, mimi naweza kusema nawashukru sana CCM kwa kupindisha sheria na kulekea Godbless Lema kuvuliwa ubunge pengine ndiyo njia aliyotupangia mwenyezi Mungu ya kuikomboa nchi hii watu wamezidi kuichukia CCM kuliko wanavyotegemea.
 
Dhuluma ni kitendo kibaya sana kitendwe na mtu mmoja mmoja ama na serikali na anguko la serikali dhulumati huwa ni anguko kuu na baya. Serikali imewadhulu yatima waliokuwa wanapatiwa mahitaji yao na Lema. Najua Mungu si wa visasi lakini huwa anatoa funzo ninauhakika kwa hili atawafundisha wote waliofanya kitendo kile.
[malipo ni hapahapa duniani!!!]
 
Back
Top Bottom