Arusha- Ukweli mchungu!

Mirija gani, ya.Mbowe kuwauzia mafuso na maspika mabovu au ule wa Slaa kukopeshwa na chama mamilioni bila utaratibu na hadi leo hajalipa!

Hayo wayasema weye, sisi wanachama hatujawahi kuyaona
 
Yaani huwezi amini aliandika haya ni mtu mzima kiumri ila mashaka yanabaki tu kwa uwezo wake wa kiakili
 
Yaani huwezi amini aliandika haya ni mtu mzima kiumri ila mashaka yanabaki tu kwa uwezo wake wa kiakili
Enkima, siyo mtu mzima kiumri tu, wengi wa hawa ndio viongozi ndani ya chama na serikali. Hebu fikiria kwa mfano wale wajumbe wa BMLK waliopitisha katiba ya Chenge/Sitta! Ndio wa aina hii haswaaa! Ulafi haukuwaathiri kiafya tu, umewaathiri sana kiakili. Genge hilo la walafi akiwemo mansoorsaid, ndilo limekamata madaraka ya nchi hii...ni sawa na fisi kupewa jukumu la kulinda bucha! Nakuapia wakimaliza mizoga yote waliyotakiwa kuilinda, wataanza kuparurana na kutafunana wenyewe kwa wenyewe na hawatakuwa na shida ya kutambuana; ni kwa kuangaliana midomo tu! Kila mdomo lazima utakuwa na alama ya damu.
 
Unajua siri ya wamakonde kupenda ccm? unajua siri ya watu wa bagamoyo kupenda chama cha mapinduzi? Jibu ni moja tu ccm waliwanyima elimu na kuwapora mali asili
 
Mirija gani, ya.Mbowe kuwauzia mafuso na maspika mabovu au ule wa Slaa kukopeshwa na chama mamilioni bila utaratibu na hadi leo hajalipa!

ww ni mpumbavi unabishana na kwa kutoa ushahidi feki. kwanza thread yako haina source. Njaa ya buku 7 hyo itakuuwa.
 
Jamani watu waongo sana lkn ukweli ni kwamba mtu yoyote na anaejitambua hakuna anaeipenda ccm ila kama ana masilahi binafsi
 
nilijua watu watachukia lakini ukweli ndio huo nina marafiki wengi wa huko ksk na ndio wananiambia hivyo na tunafanya biashara nao nikawatania chadema ikishika nchi na mimi nisilipe mapato nikawambia nimetoka kibororoni
 

attachment.php
 
Nimetoka kaskazini lakini nichukia CHAGADEMA. mleta mada ungesema WACHAGA ingepiga msumari kwenye mfupa.
kuhusu hii miji wanaoitaja hawa bavicha, ahhh ni kwa sababu wachaga wamewekeza huko na wamachinga wanaounga mkono harakati zao hawana akili ya kupambanua mambo.
Waache watingishe mikia baada ya kurushiwa mifupa.
Hahahaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom