Godbless Lema ameona Njia pana ya Kumtukana Magufuli itampoteza ameamua kupita Njia Nyembamba ya Kusema Ukweli kuhusu Maisha!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,025
Wakati Wanasiasa wengi wanatafuta Kiki kwa Kumtukana, kumkejeli na hata kumsingizia mabaya hayati Magufuli, mjumbe wa kamati kuu ya Chadema ameamua kutumia Njia tofauti

Lema awali alijaribu kumsema vibaya hayati Magufuli lakini baada ya mshua wake yule wa Kenya alivyoelezea alivyomtorosha Lema kutoka Arusha akiwa na familia yake na baadae kukamatwa na kuachiliwa Nabii Lema amebadili Gia

Kwa sasa Lema hamshambulii tena Magufuli kama mtu binafsi bali anamjumlisha kwenye taasisi nzima ya CCM

Ndio sababu unaona kwa sasa Lema Ndiye mwanasiasa anayefuatiliwa sana hapa nchini pamoja na mapungufu mengi aliyonayo na wengine kumuona kama limbukeni

Wananchi wa Kawe nao wanamsubiri Lema aje awafafanulie ile ahadi ya askofu Gwajima ya kuwapeleka Marekani kama inatekelezeka

Ramadan kareem!
 
Naunga mkono hoja
P
 
Hakuna anayemsingizia magufuri wenu , bali ni kweli kbs kwenye utawala wake ndo Taifa lilishuhudia utekaji , uporaji wa mali za watu kwa kisingizio cha hujumu uchumi, ndo kipindi maiti ziliokotwa sana kwenye fukwe za bahari ya Hindi.. kamata kamata ya viongozi wa chadema, kuuawa kwa viongozi wa chadema, kufungwa kwa makosa ya kubumbwa kwa viongozi wa chadema...kujitungia Sheria za kujilinda yy na vibaraka wake...ndo kipindi kulikozuka kundi la wasiojulikana wakiongozwa na makonda na Sabaya, kwahiyo hakuna anayemsingizia ila pamoja na hayo yooote Lema kaamua kuongea kile alichokiona eneo husika la mkutano... kwahiyo sio kwamba mtukufu wenu anasingiziwa
 
Kumuongelea mtu ambaye hawezi kujibu ni ujinga mtupu.
 
Ni nchi gani duniani ama awamu ipi taifa halijawahi kushuhudia utekaji, operesheni dhidi ya wahujumu uchumi, vifo vya watu, wasiojulikana, n.k? Umezaliwa au kuanza kuishi Tanzania lini?
 
Umeshakunywa sumu..umebakia kukata roho tu.. ila nafasi bado ipo jitibu upone hiyo sosona.
 
Hakuna anayemsingizia magufuri wenu , bali ni kweli kbs kwenye utawala wake ndo Taifa lilishuhudia utekaji , uporaji wa mali za watu kwa kisingizio cha hujumu uchumi, ndo kipindi maiti ziliokotwa sana kwenye fukwe za bahari ya Hindi.. kamata kamata ya viongozi wa chadema, kuuawa kwa viongozi wa chadema, kufungwa kwa makosa ya kubumbwa kwa viongozi wa chadema...kujitungia Sheria za kujilinda yy na vibaraka wake...ndo kipindi kulikozuka kundi la wasiojulikana wakiongozwa na makonda na Sabaya, kwahiyo hakuna anayemsingizia ila pamoja na hayo yooote Lema kaamua kuongea kile alichokiona eneo husika la mkutano... kwahiyo sio kwamba mtukufu wenu anasingiziwa
Ule ulikuwa ni utawala wa shetani kabisa
 
Na wewe panda jukwaani ukamtukane uuone moto wa marehemu. Kwa sasa endelea kujificha tu humu
 
Ni nchi gani duniani ama awamu ipi taifa halijawahi kushuhudia utekaji, operesheni dhidi ya wahujumu uchumi, vifo vya watu, wasiojulikana, n.k? Umezaliwa au kuanza kuishi Tanzania lini?
Hizo nchi gani ndiyo zifanane na Tanzania?Kwa nini Tanzania isijitofautishe?Upumbavu wa hizo nchi ndiyo uhalalishe mwingine hapa Tanzania?Utetezi wa hovyo.
 
Mjadala wa Magufuli utakuwa at its peak 2025, baada ya hapo atapumzika kwa amani. Mwanasiasa yoyote anayetaka kufanya vizuri uchaguzi ujao hana budi kuwa on the positive side ya Magufuli.
Na ndiyo hapo NGO ya Dj a.k.a kengeza itakapo badili gia angani na kuanza kufanya malinganisho ya Dkt Magufuli na Rais Dkt Samia na kusema afadhali ya kule hahahaha Mama lazima awanyonge. Ila wanasiasa jamana eti Dkt Kikwete aliitwa Mr Dhaifu halafu wakakataa kufuta kauli ila leo eti wapo
meza moja na Mr Dhaifu hahaha
 
Hakuna anayemsikagizia magufuri wenu , bali ni kweli kbs kwenye utawala wake ndo Taifa lilishuhudia utekaji , uporaji wa mali za watu kwa kisingizio cha hujumu uchumi, ndo kipindi maiti ziliokotwa sana kwenye fukwe za bahari ya Hindi.. kamata kamata ya viongozi wa chadema, kuuawa kwa viongozi wa chadema, kufungwa kwa makosa ya kubumbwa kwa viongozi wa chadema...kujitungia Sheria za kujilinda yy na vibaraka wake...ndo kipindi kulikozuka kundi la wasiojulikana wakiongozwa na makonda na Sabaya, kwahiyo hakuna anayemsingizia ila pamoja na hayo yooote Lema kaamua kuongea kile alichokiona eneo husika la mkutano... kwahiyo sio kwamba mtukufu wenu anasingiziwa
 
Na ndiyo hapo NGO ya Dj a.k.a kengeza itakapo badili gia angani na kuanza kufanya malinganisho ya Dkt Magufuli na Rais Dkt Samia na kusema afadhali ya kule hahahaha Mama lazima awanyonge. Ila wanasiasa jamana eti Dkt Kikwete aliitwa Mr Dhaifu halafu wakakataa kufuta kauli ila leo eti wapo
meza moja na Mr Dhaifu hahaha
CDM haiwezi kuchukua hii nchi hata siku moja, wachumia njaa. 2025 tunaenda na Samia au yeyote atakayepitishwa na CCM.
 
Hakuna anayemsingizia magufuri wenu , bali ni kweli kbs kwenye utawala wake ndo Taifa lilishuhudia utekaji , uporaji wa mali za watu kwa kisingizio cha hujumu uchumi, ndo kipindi maiti ziliokotwa sana kwenye fukwe za bahari ya Hindi.. kamata kamata ya viongozi wa chadema, kuuawa kwa viongozi wa chadema, kufungwa kwa makosa ya kubumbwa kwa viongozi wa chadema...kujitungia Sheria za kujilinda yy na vibaraka wake...ndo kipindi kulikozuka kundi la wasiojulikana wakiongozwa na makonda na Sabaya, kwahiyo hakuna anayemsingizia ila pamoja na hayo yooote Lema kaamua kuongea kile alichokiona eneo husika la mkutano... kwahiyo sio kwamba mtukufu wenu anasingiziwa
Inaonekana we ndio unajua Siri zote za nchi ndio maana unasema Ivo povre...!
 
Back
Top Bottom