Arusha Press Club tumeaibisha - Kifo cha Mwangosi

John Mhala ni mwakilishi wa gazeti la uhuru unategemea nini ?.

Viongozi wenyewe ni akina Ibrahim Gwandu, jamaa wanapenda kulamba miguu ya wakubwa!
Wanamwona RPC kama Mungu wao inakera sana!
 
HAYA POLENII LAKINI HATA BWANA LEMA HAPA DAR-ES-SALAAM NAONA NAYE ANAAIBISHA CHAMA CHENU. ANASHINDWA KUTENGENEZA NYOMI???. ONA HII AIBU

 
Wengi wanajifanya wapambanaji ila wepesi na bei rahisi sana. Yatawatokea puani wanafikiri polisi ni washikaji zao. Wakishaibua mambo ndio wanafanya mradi wa kula hapo hapo.
 
Hivi kweli Ibrahim Gwandu atafanya maandamano mbele ya watu anaowanyenyekea RC, RPC na CCM. Wengine wa dizaini ya kimamluki ni moses mashala huyu ndio anatia aibu kabisa. Kuna haja ya kujiscreen kweli hata ikibidi uongozi wa press club ujiuzulu wameonyesha kushindwa katika mambo mengi likiwemo hata la kusimamia maadili ya waandishi.
 
Back
Top Bottom