Arusha na CCM

Watu wa kasikazini bado wana nafasi kubwa pamoja na watanzania wote ya kupata Rais aliye bora kama wataondoa mawazo ya kitumwa ya kuamini kuwa Rais bora ana patikana CCM.

Kama watathubutu kutoka nje ya box la CCM na kumtafuta Rais nje ya CCM kuna uwezekano wa kupatikana kwa Rais bora zaidi ya hawa wanaotoka CCM.
 
mi ni mzaliwa na mkazi wa Kilimanjaro marangu. Unachoongea ni siasa za makabila jambo ambalo siyo zuri. Alafu siasa ni Sera siyo matusi. Waje wote wamwage Sera then wananchi waamue. Pia kama upinzani wanadhani kupita huku na huku wakisema serikali haijafanya kitu ni dili waendelee. Nimefwatilia chaguzi nyingi sana kupitia vyombo vya habari. Hakuna kitu kizuri kama Sera. Mfano Laporta vs Bartomeu pale Barcelona club kila uchao Sera zinamwagwa!!! Wananchi wamechoka na vijembe vya kutukanana na lawama. Ndio maana hata baadhi yao walimpenda Lowassa kwa kula alikuwa anawaambia atawasaidiaje japo mambo ya ufisadi yanayozungumzwa juu yake. Dr slaa mwaga Sera Dr Magufuli mwaga Sera. Zungukeni nchi mzima alafu wananchi tutawarate. Hii ndiyo siasa bora. Hawa watu wote ni makini sana na naimani Sera ndio zitawaokoa. Magufuli ni mchapakazi sana na Dr slaa pia. CCM mwacheni Magufuli msimshinikize kwa lolote mtaona watanzania watakavyo enjoy life. Pia kwa Dr slaa vilevile. Jana kuna mkurugenzi wa halmashauri fulani baada ya Magufuli kutwaa 3 bora akasema tumekwisha. Pia Dr slaa watu wanamjua vema. Taifa la Mungu twendeni church kwa wale rc alafu tukija mambo yote hadharani
 
Hata wasipopiga kura watu wa kaskazini ushindi uko palepale. Kwani kaskazini ndio nn? Nchi hii ni yetu sote. Hakuna mwenye hati miliki. Waache ubinafsi mkubwa uliokithiri mithili ya kutaka kila kitu chao. Tumechoka na tabia za hovyo za ubinafsi, ulafi na ubaguzi wao kwa watu wa sehemu zingine kwa kujiona wanajua kila kitu kumbe maji tu.
 
mi ni mzaliwa na mkazi wa Kilimanjaro marangu. Unachoongea ni siasa za makabila jambo ambalo siyo zuri. Alafu siasa ni Sera siyo matusi. Waje wote wamwage Sera then wananchi waamue. Pia kama upinzani wanadhani kupita huku na huku wakisema serikali haijafanya kitu ni dili waendelee. Nimefwatilia chaguzi nyingi sana kupitia vyombo vya habari. Hakuna kitu kizuri kama Sera. Mfano Laporta vs Bartomeu pale Barcelona club kila uchao Sera zinamwagwa!!! Wananchi wamechoka na vijembe vya kutukanana na lawama. Ndio maana hata baadhi yao walimpenda Lowassa kwa kula alikuwa anawaambia atawasaidiaje japo mambo ya ufisadi yanayozungumzwa juu yake. Dr slaa mwaga Sera Dr Magufuli mwaga Sera. Zungukeni nchi mzima alafu wananchi tutawarate. Hii ndiyo siasa bora. Hawa watu wote ni makini sana na naimani Sera ndio zitawaokoa. Magufuli ni mchapakazi sana na Dr slaa pia. CCM mwacheni Magufuli msimshinikize kwa lolote mtaona watanzania watakavyo enjoy life. Pia kwa Dr slaa vilevile. Jana kuna mkurugenzi wa halmashauri fulani baada ya Magufuli kutwaa 3 bora akasema tumekwisha. Pia Dr slaa watu wanamjua vema. Taifa la Mungu twendeni church kwa wale rc alafu tukija mambo yote hadharani

Mkuu tatizo ni kulinganisha mbinguni na motoni. Kwa nchi zilizoendelea Sera ndizo zinakipa chama ushindi lakini kwa nchi zetu hizi asimilia kubwa ya wapiga kura hawajui chochote kuhusu sera za chama. Nchi nyingi za Africa kigezo kikubwa cha ushindi ni wizi wa kura, dini, ukabila na ukanda. Mwulize jk ni kwa nini hatasahau mchango wa usalama wa taifa katika uchaguzi wa 2010! Bila kuongelea issue ya Lowasa ni kuwa serikali imekuwa ikiidhulumu kanda ya kaskazini kwa muda mrefu. Naomba kuwakilisha
 
Kwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.

Kumbe UKAWA ni maalum kwa wanakaskazini! sikujua bado mna wazo la ukabila na chuki dhidi ya.makabila mengine kiasi hiki! Haya kila la heri kama bado mna mawazo mfu ya ubaguzi wa kikabila kiasi hiki labda mpate rais wa kaskazini na aongoze huko huko tu. Watanzania mamilioni hawatatishwa na ukabila wenu wenye chuki ni uchu ma hii UKAWA yenu.
 
hakuna kilicho baki waje kuchukua bendera zao

Mna ukabila sana nyie na UKAWA ni geresha ya kuwadanganya CUF tu. Nyie mna ajenda ya siri kama waisrael. Haya tuone kama mtaendelea kuwadanganya watanzania tena. Dhambi ya ubaguzi itaendelea kuwatafuna.
 
hahahahahahah mkuu umenipa raha sana

Ni akili finyu kuishi TZ kwa kudhani ukabila utakupa maendeleo ndani ya watz zaidi ya m47 unatishia kutegemea kura za Arusha na Moshi kupata rais! baba wa taifa alishawajua watu wenye ubaguzi na athari zenu. Hamuwezi kutegemea ukabila kutuomgoza watu wpte wa TZ mmefilisika.
 
Mkuu tatizo ni kulinganisha mbinguni na motoni. Kwa nchi zilizoendelea Sera ndizo zinakipa chama ushindi lakini kwa nchi zetu hizi asimilia kubwa ya wapiga kura hawajui chochote kuhusu sera za chama. Nchi nyingi za Africa kigezo kikubwa cha ushindi ni wizi wa kura, dini, ukabila na ukanda. Mwulize jk ni kwa nini hatasahau mchango wa usalama wa taifa katika uchaguzi wa 2010! Bila kuongelea issue ya Lowasa ni kuwa serikali imekuwa ikiidhulumu kanda ya kaskazini kwa muda mrefu. Naomba kuwakilisha

Serikali inawadhulumu nini kanda ya kaskazini?
 
mi ni mzaliwa na mkazi wa Kilimanjaro marangu. Unachoongea ni siasa za makabila jambo ambalo siyo zuri. Alafu siasa ni Sera siyo matusi. Waje wote wamwage Sera then wananchi waamue. Pia kama upinzani wanadhani kupita huku na huku wakisema serikali haijafanya kitu ni dili waendelee. Nimefwatilia chaguzi nyingi sana kupitia vyombo vya habari. Hakuna kitu kizuri kama Sera. Mfano Laporta vs Bartomeu pale Barcelona club kila uchao Sera zinamwagwa!!! Wananchi wamechoka na vijembe vya kutukanana na lawama. Ndio maana hata baadhi yao walimpenda Lowassa kwa kula alikuwa anawaambia atawasaidiaje japo mambo ya ufisadi yanayozungumzwa juu yake. Dr slaa mwaga Sera Dr Magufuli mwaga Sera. Zungukeni nchi mzima alafu wananchi tutawarate. Hii ndiyo siasa bora. Hawa watu wote ni makini sana na naimani Sera ndio zitawaokoa. Magufuli ni mchapakazi sana na Dr slaa pia. CCM mwacheni Magufuli msimshinikize kwa lolote mtaona watanzania watakavyo enjoy life. Pia kwa Dr slaa vilevile. Jana kuna mkurugenzi wa halmashauri fulani baada ya Magufuli kutwaa 3 bora akasema tumekwisha. Pia Dr slaa watu wanamjua vema. Taifa la Mungu twendeni church kwa wale rc alafu tukija mambo yote hadharani

Ninakuunga mkono kwa asilimia zote.
 
Kama mlivyo m bagua lowasa asubui asubui

Nani kakuambia Lowasa amekatwa kwa sababu ya ukabila? ina maana wewe hujui kashfa zinazomzunguka? Iweje nyie chadema mumpende sana Lowasa dakika hizi za majeruhi? Obvious mnazo rundo ya kashfa zake mlizihifadhi ili akipitishwa na ccm mzitoe hadharani kuimaliza ccm! wamewashtukia mnaleta ajenda ya ukabila. Muflisi nyie.
 
CCM ni habari nyingine mkuu. Hiyo kanda ya kasikazini wanajua fika kuwa ilishaga potea, kanda ya ziwa ambayo ina wapiga kura wengi ilikuwa nayo inapotea, sasa kwa turufu waliocheza hakika wameweza kunusuru kanda ya ziwa isiondoke na irudi kwao. Kwa maana hiyo CCM sasa wana uhakika wa ushindi wa urais kama Magufuli atasimamishwa. Wakifanya kosa wakasimamisha mgombea tofauti na Magufuli wameumia. Sasa Ukawa nguvu wazielekeze kwa kupata idadi kubwa ya wabunge, ili angalau wawe na nguvu ya kuisimamia serikali. Tofauti na hapo, Ukawa ni maumivu, wataz ni maumivu, salama ya watz ni kupata idadi kubwa ya wabunge.
 
Back
Top Bottom