Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 750
- 1,800
Mlinzi wa shule ya Winning spirit iliyopo Terat jijini Arusha ISSA DINAIH ISSA miaka 57 mkazi wa Terati ameuawa Kikatili kwa kukatwa shingo na kutengenishwa na kiwiliwili na watu wasiojulikana na Kisha kuondoka na kichwa Cha marehemu usiku wa kuamkia leo.
Polisi Arusha imeshindwa kuzungumzia tukio hilo ikiwa ni mwendelezo wa matukio ya mauaji yanayoendelea bila kutolewa ufafanuzi.
Jambo linaloleta taharuki kwa wakazi Arusha.
Polisi Arusha imeshindwa kuzungumzia tukio hilo ikiwa ni mwendelezo wa matukio ya mauaji yanayoendelea bila kutolewa ufafanuzi.
Jambo linaloleta taharuki kwa wakazi Arusha.