Arusha: Mlinzi auawa kwa kuchinjwa, wauaji waondoka na kichwa

Mbna hii hbr ipo nusu nusu

Shule gani hyo
Iko wapi hyo shule

Hiyo shule aliyouawa huyo mlinzi ndo inajengwa iwe tawi la shule ya Winning Spirt. Ipo mitaa ya kuelekea Intel karibu na barabara ya East Africa
 
Mbona mambo haya ya kinyama yamezidi sana. Hiyo kamati iliyoundwa na Waziri inafanya nini mbona mauaji yanaendelea
Usishangae mkuu,nchi inarudi kwenye tawala za machifu unategemea njni?

Ushirikina umepewa nguvu na serikali na kutambuliwa rasmi na mkuu wa kaya lazima turudi zama za kutafuta wenye vipara,albino,viungo vya watu n.k.
 
Mbona tena ni mlinzi wa Meya, mara alikuwa mlinzi wa shule…. namna gani pale!!!
 
Magufuli anaua watu sana!

Ukiwaambia nitajie watu 5 wanaishia kumtaja Ben na Azory!

Haya hiki cha awamu hii ni kitu gani sasa?
Nasikia mpaka muda ndani ya miezi 6 wameuawa watu 176
Na hapo bado ambao hawajaripotiwa, nadhani ni mara mbili ya hapo
 
Back
Top Bottom