Arusha: Mfanyabiashara afariki kwenye ajali ya gari

Unaweza ukakuta sisi ndiyo huwa hatuelewi, kumbe wao neno Bilionea ni kama Chadema wanavyoitana Makamanda au CCM wanavyoitana Machawa
Arusha ukiwa na pesa ya kuwanunulia machalii Kreti la bia na Nyama choma,Basi kuanzia siku hiyo unapewa hadhi ya U Bilionea hadi kifo chako!!!
 
Mtanisamehe Kifo kinachosababishwa na Ulevi Kupindukia. Ushamba, Sifa za Kijinga na Upumbavu ( Upopoma ) uliotukuka huwa hakiniumi, na wala sitopoteza muda wangu Kuuhudhuria sana sana nitatumia wasaa mkubwa Kumsifia Israeli Mtoa Roho kwa Kuupiga mwingi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu nasubiri bandiko kuhusu mechi ya tarehe 16
 
R.I.P bilionea Temba.

Arusha na Moshi tuna tabia ya kumuita mtu Zimba, na akimiliki Hotel na Range lazima tumuite bilionaire ndiyo kwetu palivyo.

ila sababu ni kuwa jamaa anayeitwa bilionea machali wanaona amewazidi kitu fulani wao cha zaidi ambao kipo nje ya uwezo wao ndiyo maana wanamwaga sifa eeeh zimba, tajiri mtoto na blah blah 😁😁😁
 
Back
Top Bottom