Arusha - Mauaji ya kutisha jana tishio kwa wimbi la mageuzi?

Tz hakuna usalama wa kutosha. Watu wanne wauwawe na bado mpaka muda huu isijulikane mhusika hapo kuna tatizo. Rip guys.
 
Nani amewaua hawa majambazi?
Na kwanini watupwe sehemu tofauti?
Jambazi gani anaweza kuuawa kwa kunyogwa?
Hii ya kwako mpya mkuu
acheni hizo hawa jamaa ni majambazi sugu.wameua olasiti mtoto wa shule wakati wanaiba dukani kwao na wamefanya ujambazi sana kuanzia sombetini mpaka ngusero,hayo ndo malipo yao,tena waende motoni.hivyo jamani hayo sio mauaji ya kisiasa
 
Pia kuna ujambazi umefanywa maeneo ya sombetini- Ngusero Arusha.

Kuna kundi la watu 9 walikuwa wanapita na kuvunja maduka.

sasa wenye maduka na vijana wa maeneo hayo wakawa na Kikao cha kuanzisha Sungusungu (Ulinzi shirikishi), Akatokea mwenyekiti Wa Kitongoji akasema hakuna cha ulinzi shirikishi hapa, nyie si mnajifanya Peoples power, sasa jilindeni.

Inasemekana ni Mpango wa chama kimoja kikongwe kilichoshindwa ubungu Arumeru, sasa wanawatisha wananchi.

Na hii habari ni kwa mujibu wa Radio Sun Rise ya Arusha.

wameshachelewa, watanzania si mabwege tena, na kama wanadhani watatumia ujambazi kunyamazisha watu, basi watashangaa
 
sasa hata kama mtu amekudhurumu ndo umuue???? kwani mliwapa bei gani ya kuwatoa roho... sema sera zenu mbovu ndo ziliwanyima ushindi sio dreva bodaboda..

12.JPG

R.I.P Dreva boda boda.
 
acheni hizo hawa jamaa ni majambazi sugu.wameua olasiti mtoto wa shule wakati wanaiba dukani kwao na wamefanya ujambazi sana kuanzia sombetini mpaka ngusero,hayo ndo malipo yao,tena waende motoni.hivyo jamani hayo sio mauaji ya kisiasa
livinstonne ... Unataarifa zaidi!! Inawezekana ukafumbua fumbo linalowatatiza wengi juu ya haya mauaji!!
 
Last edited by a moderator:
Nami naungana na maombi,Ee Mungu wangu,angalia damu hii iliyomwagika pasipo hatia,Mungu, wote waliofanya mauaji haya ukajilipizie kisasi kwao,na vizazi vyao vinne,laana hii iwakamate wenyewe na familia zao.wewe Mungu uliwaona nakuwajua,polisi yako ya mbinguni iwakamate sasa,ni katika jina la yesu naomba Amina.
 
00001asion.jpg
attachment.php

R.I.P marehemu wote,na hakika inasikitisha sana na walaaniwe waliohusika na vifo hivi.
Mi nimeongea na mkazi wa Sombetini,ambako hatimae imefahamika kuwa ndio makazi ya marehemu hawa,Yeye anasema ni mmoja tu kati yao ndio alikuwa akijhusisha na bodaboda,na akaongeza kwamba kulikuwa na walakini mtaani kwao kuhusu shughuli zao na walikwishaonywa mara kadhaa.
Kama kuna member humu kutoka mbauda atujuze kwa undani tafadhali.hii itatusaidia kuelewa kama hii ni criminal offence ya kawaida au ni Political asassination.
 
Hapa sasa picha inakuja taratibu.
Suala la kujiuliza ni jinsi gani na nani aliwaua kwa kunyongwa?

Ni shughuli gani zilizokuwa zinalalamikiwa na majirani na wakaonywa? Jaribu kuwa wazi kidogo utusaidie maana wengi tupo kwenye lindi la kujua nini kimejilia kwa vifo hivi vya kutatanisha kwa vijana hawa wabichi kabisa ambao ni hazina kuu kwa taifa letu.
 
Hapa sasa picha inakuja taratibu.
Suala la kujiuliza ni jinsi gani na nani aliwaua kwa kunyongwa?
Kama tungepata member mkazi wa huko arusha mbauda ambaeb yuko msibani angeweza kutupatia walau picha halisi ya wasifu wa marehemu hawa.
 
Ni shughuli gani zilizokuwa zinalalamikiwa na majirani na wakaonywa? Jaribu kuwa wazi kidogo utusaidie maana wengi tupo kwenye lindi la kujua nini kimejilia kwa vifo hivi vya kutatanisha kwa vijana hawa wabichi kabisa ambao ni hazina kuu kwa taifa letu.
Kwa mujibu wa maelezo ya wakazi hao wa mbauda ni kwamba walikuwa wakijihusisha na uhalifu.
 
Vigumu kuamini kauli yako ukizingatia kwamba mauaji hayo yametokea wakati mmoja, ni dalili tosha ni kitu cha kupangwa. Hivyo ningeamini kauli uliyosema kama tukio ni moja au mawili, lakini kufikia idadi ya waendesha pikipiki watano kwa wakati mmoja ni jambo linaloibua maswali mengi.

acheni hizo hawa jamaa ni majambazi sugu.wameua olasiti mtoto wa shule wakati wanaiba dukani kwao na wamefanya ujambazi sana kuanzia sombetini mpaka ngusero,hayo ndo malipo yao,tena waende motoni.hivyo jamani hayo sio mauaji ya kisiasa
 
Wanajf,

Taarifa kutoka kwa majirani wa marehemu zinasema kwamba marehemu walikuwa wezi.
Inasemekana yule kijana aliyekuwa anaendesha bodaboda ndiye kinara wa kusuka mipango ya wizi.
Inasemekana kuwa juzi kuna kijana alienda kuiba mahali maeneo ya Ngusero, hakujua pale palikuwa hapaingiliki. Alipoingia tu alinaswa pale pale, akakutwa na Bastola. Alipokamatwa alibanwa nyeti zake mpaka akawataja wenzake anaohusika nao kwenye uhalifu.
Inasemekana kuwa alipobanwa zaidi alikubali kutoa ushirikiano, ndipo simu yake ilpotumika kuwakusanya wenzake, kwa kuwajulisha kuwa kuna dili sehemu kwahiyo wajiandae atawapitia.
Moja kati ya hao alikutwa maeneo ya sekei, mwingine mbauda na mwingine sombetini. Wote waliuawa kwa kunyongwa, maiti zikatupwa sehemu tofauti.
Moja kati ya wale muda huu kuna msiba nyumbani kwao.
Haijafahamika kama usalama wanahusika, lakini kwa taarifa nilizopata ni kwamba mpango wa kuwakamata ulisukwa, baada ya jamii kuchoshwa na tabia za waporaji hao.
Inasemekana marehemu wanahusishwa na kifo cha mwanafunzi moja mtoto wa Placid Sebulu, aliyeuawa maeneo ya olasiti wakati anatokea duka la dawa, wakati wauaji hao wanatoka kuiba jirani na eneo hilo.

Bado tunafuatilia ukweli........

Stay tuned...........
 
Loh poleni sana wafiwa. Kama mauaji hayo kwa namna yoyote yana mkono wa kisiasa basi ni lazima umma uamke na kuchukua hatua stahiki sasa.

Poleni sana.

Hakuna mzaha katika kupoteza maisha ya watu,ikibainika vifo hivi vina mkooo wa chama cha siasa chochote tafadhali kifutwe mara moja na kufilisiwa mali zake zote.RIP MAREHEMU WOTE
 
Taarifa nilizo zipata kutoka kwa mjirani wa Sombetini kuliko misiba,hawa jamaa ni wezi na majambazi maarufu Sombetini
Wanaiba kwenye mpesa,wanakaba watu kweupe na wenyeji wanawafahamu kwa kazi hizo.
Inaelekea polisi wamesha kwenda sana na wana achiwa sasa sijui wameingia anga za watu gani wamewateka na kuwafanyia huo unyama.
Inasemekana ni wanajeshi ila kwa hilo bado sina ihakika.
 
Back
Top Bottom