Arusha - Mauaji ya kutisha jana tishio kwa wimbi la mageuzi?

Mpaka muda huu watu wanajiuliza maana hawapati picha, ni jinsi gani hawa watu waliuawa, tena kwa kunyongwa kwa kamba shingoni.

Ninachoamini ni kwamba kama vifo hivi havitokani na usalama wa taifa, wauaji watapatikana kutokana na kwamba marehemu wote wana macho. Macho yao yanaweza kutumika kugundua wauaji kama hawajavaa masks.
Lakini kama yametokana na kitengo cha usalama itakuwa ngumu kujua wauaji.
Lens ya macho zitatumika kuwajua wauaji, kwani sura zao huhifadhiwa na lens za macho

Mkuu Mungi hiyo habari ya picha kuhifadhiwa kwenye Retina au Lens ya jicho la marehemu sio ya kweli. Tafadhali wakuu tusiwe na tabia ya kuelezea jambo usilolijua kwani inaweza kukushushia hadhi na heshima uliyonayo kwa jamii
 
Kiukweli inatia majonzi sana, lakini naamini mungu yupo tutajua ukweli wa jambo hili!
 
tanzania taifa langu,,,,,ya nini laana hii,,,,,,,mauaji ya nguvu kazi ya taifa lako mwenyewe,,,,,,,,,,hivi ni kweli ama ninaota,,,,,,,,,,mungu wangu,uyaone machozi yangu unijibu hima,,,,,,vijana hawa nini wamekosa hadi iwapase kifo,,,,damu yao,,uhai wao,,kwa kumfurahisha nani,,,,mbinu gani ilitumika,,,mamlaka gani,,ilisimamia hata wasijitetee,,,,,,,ee mola ujuaye siri hii tufunulie,,tunusuru na taifa la utekaji nyara na mauaji,,,,,,naililia tanzania,,,,,,nawalilia vijana hawa,,,,,,lalen pema pepon,,,,,,burian,mmekufa mkiuhitaji uhai,,mkipingana na umasikini,,,,,,eeemen,,,,,,,
n,,,,,,no stone will remain unturned,,,is the matter of time,,,,
 
Mpaka muda huu watu wanajiuliza maana hawapati picha, ni jinsi gani hawa watu waliuawa, tena kwa kunyongwa kwa kamba shingoni.

Ninachoamini ni kwamba kama vifo hivi havitokani na usalama wa taifa, wauaji watapatikana kutokana na kwamba marehemu wote wana macho. Macho yao yanaweza kutumika kugundua wauaji kama hawajavaa masks.
Lakini kama yametokana na kitengo cha usalama itakuwa ngumu kujua wauaji.
Lens ya macho zitatumika kuwajua wauaji, kwani sura zao huhifadhiwa na lens za macho

Forensic laboratory zetu zina technology hiyo?
 
Why are we so quick to judge? CCM inakamata vijana 4 tu na kuwanyonga? Let's be serious guys! Uchunguzi ufanyike, iangaliwe common motive ya kuwaua vijana hawa.
Pole wafiwa. Yesu alisema duniani mnayo dhiki (alitambua its aint easy), lakini jipeni moyo nimeushinda ulimwengu.
 
Mkuu Mungi hiyo habari ya picha kuhifadhiwa kwenye Retina au Lens ya jicho la marehemu sio ya kweli. Tafadhali wakuu tusiwe na tabia ya kuelezea jambo usilolijua kwani inaweza kukushushia hadhi na heshima uliyonayo kwa jamii

Fafanua kuwa haifanyi kazi.
Serikali iki determine kufanya uchunguzi itafanya, hata kama forensic bureau ya hapa haina hiyo technology wanaweza kwenda mbali zaidi. Lengo ni kupata mwizi ili tatizo lisijirudie tena.
Acha tabia yako ya kuwakatisha watu tamaa wakati inawezekana kufanyika
IPECACUANHA, kuna kitu hujaijua kutoka kwangu. Kuanzia leo inatakiwa ujue kuwa si nia yangu na wala sitafuti hadhi wala heshima kwa kupotosha au kuficha ukweli. Nipo hapa kutetea haki na ukweli.
Watu kama nyie ni wakuogopwa mbele ya jamii kwa kuwa mnatafuta hadhi na heshima, ambayo ili uilinde ni lazima ufiche baadhi ya mazingira.
Mpambanaji siku zote anakutana na mazingira ya kutisha, lakini anasonga mbele.

"FICHA UPUMBAVU WAKO, USIFICHE HEKIMA YAKO" by Invisible
 
Why are we so quick to judge? CCM inakamata vijana 4 tu na kuwanyonga? Let's be serious guys! Uchunguzi ufanyike, iangaliwe common motive ya kuwaua vijana hawa.
Pole wafiwa. Yesu alisema duniani mnayo dhiki (alitambua its aint easy), lakini jipeni moyo nimeushinda ulimwengu.

Haijahusishwa moja kwa moja kama suala la kisiasa, lakini CCM wanaweza kufanya hivyo kwa kutisha wengine
 
Haijahusishwa moja kwa moja kama suala la kisiasa, lakini CCM wanaweza kufanya hivyo kwa kutisha wengine

Mauaji ya watu wa tano ambao wote ni waendesha pikipiki ambao mara nyingi wako kwenye misululu ya kushabikia maandamano fulani fulani. Halafu mauaji hayo yanafanana kwa wote watano, ni dalili tosha yalipangwa na kuendeshwa na kundi moja. Kuwapata Waendesha bodaboga ni rahisi kwa kuomba usafiri toka kwao.
 
Mimi naingiwa imani kubwa sana kuwa hawa wauwaji sio wengine zaidi ya usalama au police, sababu: 1. Hawa kuwa na majeraha mengi. (hii ina maanisha waliwekwa chini ya ulinzi fulan mkali wenye silaha na mikonon mwahawa watatu hawana kamba au minyororo basi ni waz walivishwa pingu)
2. Kitendo cha kunyongwa watu wa 5 kwa mkupuo na bila vpigo vya hapa na pale. (inaashiria utii wa agizo na malengo ktk mauaji tu na kutokua na jazba kama iwavyo kwa majambaz ktk utendaji wao, majambaz wanaua kuepuka vkwazo vya kupata wanachoitaji na kujiweka salama, mauaji kwao co dhamirio la dhati, kitendo cha watu watano kunyongwa kwa mkupuo ni ishara palikua na mkakati na uongoz ktk kuua.)

haya ni maoni yangu tu.
 
Jamani haya mauji ni ya kutisha sana. Lakini tukumbuke huko nyuma yalitokea mauaji ya vijana kama hawa maarufuk ama "wafanyabiashara wa madini wa Mahenge" ambapo Zombe alihusishwa. Siyo kila jambo tulisiasishe kwani matokeo yake si mazuri hata kidogo.

Hapa wa kukaliwa kooni ni Polisi kwani wao ndiyo wana wajibu wa kutuambia nini kimetokea au kinashabihiana na kilichotokea. Kwa bahati mbaya sana taasisi hii ya Polisi imejaa wala Rushwa kiasi kwamba haiaminiki tena mble ya jamii.
 
Dah! Inatisha sana. Jamani binadamu hawana huruma wala woga wa mungu? Ktk amri za mungu,tunatakwa kutokuua,kulikoni hawa waliofanya hivi hawamjui mungu? Mungu izilaze roho za marehemu mahali pema peponi!
 
Vigumu kuamini kauli yako ukizingatia kwamba mauaji hayo yametokea wakati mmoja, ni dalili tosha ni kitu cha kupangwa. Hivyo ningeamini kauli uliyosema kama tukio ni moja au mawili, lakini kufikia idadi ya waendesha pikipiki watano kwa wakati mmoja ni jambo linaloibua maswali mengi.

acheni hizo hawa jamaa ni majambazi sugu.wameua olasiti mtoto wa shule wakati wanaiba dukani kwao na wamefanya ujambazi sana kuanzia sombetini mpaka ngusero,hayo ndo malipo yao,tena waende motoni.hivyo jamani hayo sio mauaji ya kisiasa
 
Mimi naingiwa imani kubwa sana kuwa hawa wauwaji sio wengine zaidi ya usalama au police, sababu: 1. Hawa kuwa na majeraha mengi. (hii ina maanisha waliwekwa chini ya ulinzi fulan mkali wenye silaha na mikonon mwahawa watatu hawana kamba au minyororo basi ni waz walivishwa pingu)
2. Kitendo cha kunyongwa watu wa 5 kwa mkupuo na bila vpigo vya hapa na pale. (inaashiria utii wa agizo na malengo ktk mauaji tu na kutokua na jazba kama iwavyo kwa majambaz ktk utendaji wao, majambaz wanaua kuepuka vkwazo vya kupata wanachoitaji na kujiweka salama, mauaji kwao co dhamirio la dhati, kitendo cha watu watano kunyongwa kwa mkupuo ni ishara palikua na mkakati na uongoz ktk kuua.)

haya ni maoni yangu tu.

Kitaeleweka tu, Polisi kwa upande wao, na sisi wananchi kwa upande wetu. end of the day kila upande unaleta conclusion.
 
Dah waziri wa wizara ya ulinzi nae akae kwenye kapu la pinda ameshindwa kulinda raia na Mali zao@zitto muongeze kwenye list. Poleni wana Arusha Mungu azilaze roho za matehemu hao peponi amen
 
acheni hizo hawa jamaa ni majambazi sugu.wameua olasiti mtoto wa shule wakati wanaiba dukani kwao na wamefanya ujambazi sana kuanzia sombetini mpaka ngusero,hayo ndo malipo yao,tena waende motoni.hivyo jamani hayo sio mauaji ya kisiasa

Sijakuelewa, una maana hawa marehemu waendesha bodaboda ni majambazi? Waliuawa wakifanya ujambazi kwa mazingira gani wakati wamekutwa katika mazingira yasiyoashiria ujambazi, na mazingira ya kunyongwa shingoni bila sehemu nyingine za miili kuathiriwa? Jambo la kujiuliza na la kutatanisha. Labda we mhusika na mauaji haya, hapa unajaaribu kutoa utetezi wako dhaifu ili kuficha uovu uliofanywa.
 
Dah! Inatisha sana. Jamani binadamu hawana huruma wala woga wa mungu? Ktk amri za mungu,tunatakwa kutokuua,kulikoni hawa waliofanya hivi hawamjui mungu? Mungu izilaze roho za marehemu mahali pema peponi!

Mafunzo waliyokuwa wanapatiwa green guards madhara yake sasa tunayaona.
 
Back
Top Bottom