Arusha hakuna umeme wala mafuta. Ewura why?

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
Nawasalimu wote kwa ndugu zangu members. Naomba kuwailiza UWURA na wenzao . Ni kwa nini Arusha hakuna umeme wala mafuta?
 
Hata mimi nimeambiwa na jamaa yangu wa karibu kwamba Arusha kuna mgawo wa umeme wa kufa mtu. Sasa sijui kwanini unafuu tunaopata hapa Dar baada ya mitambo ya IPTL kuwashwa wenzetu wa Arusha bado wako ktk mgawo mkali!!
 
Back
Top Bottom