Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika

Sasa kwani lini na nani aliwahi kusema Arusha ni zaidi ya Mwanza?
Au unajitekenya na kucheka mwenyewe.
Arusha ni kama Geneva interms of enviroment,tourism na hali ya hewa.ktk hilo mwanza haioni ndani ila kwa kipato mz watamzidi lakini pia tukiwaondoa wachaga wote mwanza na kuwaleta arusha basi gata GDP ya mwanza itashuka na Arusha itapanda.
Hutaki basi mfate mwendazake

Halafu Arusha haikuitwa "Geneva of Afrika" kwa sababu ya mazingira na utalii. Fuatilia hotuba ya Rais Clinton, kama lugha inapanda lakini: Clinton at Burundi peace talks. Ila jombaa unachekesha, sasa uwaondoe Wachagga Mwanza waje Arusha ni kwao? Yaani umekaa kabisa ukawaza huo ujinga wa kugombania kabila la watu!!🤣 Mnawatukuza sana Wachagga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom