Top Ten viwanja vya ndege vinavyohudumia Abiria wengi Tanzania

Grand Canyon

JF-Expert Member
Jan 2, 2020
457
927
Passenger traffic

1 Julius Nyerere International Airport Dar-es-salaam Dar es Salaam

2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar Zanzibar

3 Kilimanjaro International Airport

4 Mwanza Airport

5 Arusha Airport

6 Songwe Airport Mbeya

7 Bukoba Airport

8 Dodoma Airport

9 Lake Manyara Airport

10 Kigoma Airport
 
Ingekua vizuri ukataja na idadi ya watu wanaohudumiwa kwa mwaka
Passenger traffic



1 Julius Nyerere International Airport
Abiria 2,417,090

2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar
Abiria 1,406,300

3 Kilimanjaro International Airport
Abiria 897,708

4 Mwanza Airport
Abiria 399,054

5 Arusha Airport
Abiria 229,366

6 Songwe Airport Mbeya
Abiria 114,863

7 Bukoba Airport
Abiria 52,102

8 Dodoma Airport
Abiria 47,396

9 Lake Manyara Airport
Abiria 41,075

10 Kigoma Airport
Abiria 33,459
 
Passenger traffic

1 Julius Nyerere International Airport Dar-es-salaam Dar es Salaam

2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar Zanzibar

3 Kilimanjaro International Airport

4 Mwanza Airport

5 Arusha Airport

6 Songwe Airport Mbeya

7 Bukoba Airport

8 Dodoma Airport

9 Lake Manyara Airport

10 Kigoma Airport
Dodoma unaoitwa na Arusha Airport?

Kumbe Arusha ni kubwa kuliko Dodoma😃
 
Passenger traffic

1 Julius Nyerere International Airport
Abiria 2,417,090

2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar
Abiria 1,406,300

3 Kilimanjaro International Airport
Abiria 897,708
Tz bado sana, pamoja na zile kelele za royal tour Ila Ukweli Ni kwamba bado sana.
Sasa isingekuwa Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro na Serengeti hesabu ingekuwa robo yake.
 
Passenger traffic

1 Julius Nyerere International Airport Dar-es-salaam Dar es Salaam

2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar Zanzibar

3 Kilimanjaro International Airport

4 Mwanza Airport

5 Arusha Airport

6 Songwe Airport Mbeya

7 Bukoba Airport

8 Dodoma Airport

9 Lake Manyara Airport

10 Kigoma Airport
cc instanbul
 
Passenger traffic



1 Julius Nyerere International Airport
Abiria 2,417,090

2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar
Abiria 1,406,300

3 Kilimanjaro International Airport
Abiria 897,708

4 Mwanza Airport
Abiria 399,054

5 Arusha Airport
Abiria 229,366

6 Songwe Airport Mbeya
Abiria 114,863

7 Bukoba Airport
Abiria 52,102

8 Dodoma Airport
Abiria 47,396

9 Lake Manyara Airport
Abiria 41,075

10 Kigoma Airport
Abiria 33,459
Dodoma imapitwaje na Bukoba?
 
Passenger traffic



1 Julius Nyerere International Airport
Abiria 2,417,090

2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar
Abiria 1,406,300

3 Kilimanjaro International Airport
Abiria 897,708

4 Mwanza Airport
Abiria 399,054

5 Arusha Airport
Abiria 229,366

6 Songwe Airport Mbeya
Abiria 114,863

7 Bukoba Airport
Abiria 52,102

8 Dodoma Airport
Abiria 47,396

9 Lake Manyara Airport
Abiria 41,075

10 Kigoma Airport
Abiria 33,459
Kama Chato Airport haimo kwenye top ten, hiyo ripoti ni batili.
 
Dodoma imapitwaje na Bukoba?
Sijui.
Lakini kutoka Bukoba hadi Dar es Salaam ni kilometer 1,414.8 km.
Kutoka Dodoma hadi Dar es Salaam ni kilometer 451.

Abiria wengi wanatoka Dar. Ni rahis mtu kutoka Dodoma hadi Dar kwa gari kuliko Bukoba.
 
Passenger traffic



1 Julius Nyerere International Airport
Abiria 2,417,090

2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar
Abiria 1,406,300

3 Kilimanjaro International Airport
Abiria 897,708

4 Mwanza Airport
Abiria 399,054

5 Arusha Airport
Abiria 229,366

6 Songwe Airport Mbeya
Abiria 114,863

7 Bukoba Airport
Abiria 52,102

8 Dodoma Airport
Abiria 47,396

9 Lake Manyara Airport
Abiria 41,075

10 Kigoma Airport
Abiria 33,459
Leta report na takwimu sio kujiandikia tu, Mwaka mwaka 2016 ilikuwa na abiria zaidi ya laki nne kwa mwaka, leo wastani wa abiria ndio ushuke hivyo alafu Mwanza ni ya pili baada ya Dar kwa kuwa na abiria wengi wa ndani acheni upotoshaji
Screenshot_20231018-103516_1697615303672.jpg
 
Back
Top Bottom