Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika

Kwa takwimu zinazosambaa kutoka NBS, Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza. Yaani kwa kelele wanazopiga GDP yao ni trilioni 7.6 tu huku ya Mwanza ni trilioni 11.9. Kwa kifupi, ukiunganisha chumi za Arusha na Kagera ndiyo unapata uchumi wa Mwanza. Machalii wa Ara mkae mtulie tu na mapenshena wa kimagharibi, maana hakuna namna nyingine.
View attachment 2367672
Top Ten Ya Mikoa Yenye Kipato Kizuri 'Dar es Salaam, Iringa na Mbeya' Zaongoza huku 'Kagera, Kigoma na Singida' Zikishika Mkia

Halafu waachane na Dar kabisa, huku ni habari nyingine.
Vijana wa Arusha, chuki ya nini kwa wenzenu wa Dar? Mkubwa atabaki kuwa Mkubwa tu
Hata shinyanga imeipita Arusha, kwahiyo Shinyanga ni pazuri kuliko Arusha? Mwanza ni jiji zuri lakini Arusha ndio the best ukitoa Dar.
 
Hilo la uzuri umeleta wewe. Uchumi ni namba, sio urembo!
 
Kwa takwimu zinazosambaa kutoka NBS, Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza. Yaani kwa kelele wanazopiga GDP yao ni trilioni 7.6 tu huku ya Mwanza ni trilioni 11.9. Kwa kifupi, ukiunganisha chumi za Arusha na Kagera ndiyo unapata uchumi wa Mwanza. Machalii wa Ara mkae mtulie tu na mapenshena wa kimagharibi, maana hakuna namna nyingine.
View attachment 2367672
Top Ten Ya Mikoa Yenye Kipato Kizuri 'Dar es Salaam, Iringa na Mbeya' Zaongoza huku 'Kagera, Kigoma na Singida' Zikishika Mkia

Halafu waachane na Dar kabisa, huku ni habari nyingine.
Vijana wa Arusha, chuki ya nini kwa wenzenu wa Dar? Mkubwa atabaki kuwa Mkubwa tu
😄😄😄😄😄 mbona nyuzi zimekuwa nyingi za kuiponda arusha,yani hiininaonyesha arusha baba lao maana mti wenye matunda ndo unalengwa mawe
 
Yangu haiuzwi inaliwa na mwenye anaeinunulia vyupi hii sio sehem ya kila mtu kutupa takataka zake
Dada zenu huku wanapuruliwa haswa wakiahidiwa elf Kumi anapanga bajeti ya week anapuruliwa haswa
Jita moja wiki juzi kawachukua wawili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom