Arumeru: ujinga wa wananchi ndio mtaji wa wanasiasa!

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,519
7,556
kampeni zinazoendelea huko Arumeru zinanipa picha moja kuwa wanasiasa wengi wanaamini kuwa wananchi wengi ni wajinga na ambao hawaelewi chochote kinachoendelea nchini kiasi cha kuwaambia mambo mengine kipuuzi na ya kizushi. mbunge anawaomba wananchi wamchague mgombea wa chama chake kwa kuwa amefiwa na hiyo itakuwa ndio kifuta machozi chake! kweli tumeffikia hatua hii? mbona kwenye majimbo mengine ambayo wabunge wake walifariki mbona watoto wao hawakupewa nafasi ya kugombea nafasi zilizoachwa na wazee wao kama kifuta machozi! au wananchi huwa hawafikirii! naamini kuna watu wanawaona wananchi mabwege sana au ndio hali jinsi ilivyo?
 
  • Thanks
Reactions: GIB

Habari km hizi ungejifungia chumbani na mwenza wako then ukamwambia ingekuwa bora zaidi kuliko kuzileta humu JF
 
Sasa kama kafiwa na Baba yake hatakiwi kugombea ubunge?
Nassari, kwenye kampeni zake anawambia wananchi mkinichagua tashusha bei ya sukari.
Huu ujinga vipi au wewe unaona sawa atashusha bei ya sukari?
 
kwa hiyo ubunge kwake ni kifuta machozi! dah! hii kweli kali!
Sasa kama kafiwa na Baba yake hatakiwi kugombea ubunge?
Nassari, kwenye kampeni zake anawambia wananchi mkinichagua tashusha bei ya sukari.
Huu ujinga vipi au wewe unaona sawa atashusha bei ya sukari?
 
Vipi na huu jinga wa Nassari anawambia wapiga kura wake mkinichaguwa tashusha bei ya sukari. Vipi Nassari ana kiwanda cha sukari?
hata huyo jamaa wa ccm angeweza kusema kitu kama hicho lakini mtu kusema achaguliwe kama kifuta machozi cha kufiwa na baba yake hilo linaweza vipi kumsaidia mpiga kura? mi naona halina uhusiano wowote kabisa, labda wewe uelezee hilo linamsaidia vipi huyo mpiga kura?
 
kampeni zinazoendelea huko Arumeru zinanipa picha moja kuwa wanasiasa wengi wanaamini kuwa wananchi wengi ni wajinga na ambao hawaelewi chochote kinachoendelea nchini kiasi cha kuwaambia mambo mengine kipuuzi na ya kizushi. mbunge anawaomba wananchi wamchague mgombea wa chama chake kwa kuwa amefiwa na hiyo itakuwa ndio kifuta machozi chake! kweli tumeffikia hatua hii? mbona kwenye majimbo mengine ambayo wabunge wake walifariki mbona watoto wao hawakupewa nafasi ya kugombea nafasi zilizoachwa na wazee wao kama kifuta machozi! au wananchi huwa hawafikirii! naamini kuna watu wanawaona wananchi mabwege sana au ndio hali jinsi ilivyo?

Kwi kwi kwi kwi , teh teh teh, mwingine anawaambia chama chake kina sera nzuri sana, wakati hicho chama hakipo madarakani na sera zinazoongoza nchi ni za chama tawala. na wananchi kwa "ujinga" wao wanamsikiliza na wanampigia makofi.
 
Sasa kama kafiwa na Baba yake hatakiwi kugombea ubunge?
Nassari, kwenye kampeni zake anawambia wananchi mkinichagua tashusha bei ya sukari.
Huu ujinga vipi au wewe unaona sawa atashusha bei ya sukari?
Kumbe kuna ka ukweli haka kahoja kuwa Ujinga wa wananchi ndio mtaji wa wanasiasa: Eti akichaguliwa atashusha bei ya sukari!!! How? yeye ni tume ya bei? Usifanye hivyo dogo kwani tunakuaminia kuibuka na ushindi wa haja hivyo epuka mkumbo wa siasa za ghirba km wafanyavyo upande wa pili..zungumza ukweli, tena ukweli mtupu na mungu atakusaidia.
 
jina lako kweli linareflect how genius you are! hongera!

Mkuu siku hz jukwaa la Jf naona linapoteza ile sifa ya kua the home of great thinkers,anyway ndio democracy lakini,even ignorants wana right ya kutoa comments zao,kikubwa ni kwa wale wanaothink big kupuuzia watu wanaoleta au kuchangia hoja as if tupo vijiwe vya kahawa,maana uki argue na wa*****u nawe unakua mp****u zaidi yao!it will prudent to consider hoja za watu makini kuliko ku dwell kwa wale wanaoleta stupidity ndani ya jukwaa!mleta hoja umeeleweka vizuri sana,na yote uliyo ongea yako sahihi,wanasiasa wana run advantage kwa kua wanajua kabisa majority ya watanzania bado tu wajinga kiasi cha kutupwa!we mtu anashindwa kuamini kua sukari au bidhaa nyingine za vyakula vinaweza kushuka bei,ila anaweza kuaminishwa kua hoja za kumfuta machozi ya kifo cha mzazi wake mtu fulani kwa kumpatia ubunge!huyo ni mtu anaye jielewa kweli?sidhani hata kama anajua siasa ina impact gani na maisha yake ya kila siku!ili ni tatizo kubwa sana kwa taifa kua na watu wengi wa***** kwa kua hawaoni wala hawaamini kua yale mabadiliko ya ubora wa kimaisha yanayotokea nchi nyingine yanasababishwa na siasa,hasa kwa wananchi kuanza kujielewa na kuchagua viongozi wenye nia ya dhati,na wananchi kuamka na kudai haki zao za msingi!watanzania wengi hatujui kama siasa ni maisha,tunadhani siasa ni ushabiki na ushadadiaji kama ilivyo soka!u****a mbaya sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom