KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,271
Hili haliitaji kuwa na degree au tochi kugundua hili.
1. Kahawa
Nani asiyejua kuwa mikaa ya nyuma zao la biashara kwa wameru lilikuwa kahawa,lakini kwa sera mbovu zikiongozwa na ccm zilichangia zao hilo kupoteza bei katika soko.wanalipi la kujitetea?
2. Ardhi
Nani asiyejua kuwa ccm kupitia serikali ndiyo wameshiriki kugawa ardhi kwa mafisadi wanaowaita wawekezaji(kimaro type) na kuwaacha wameru wakigombea ardhi.jamani mnadanganywa nini na ccm?
3.Maji
Katika kitu ambacho wameru hawatakuja kukisahau ni pale aliyekuwa waziri wa maji by then alipoamua kuchukua maji kutoka kati vyanzo vya mlima meru kupeleka monduli.leo hii wanakuja na ahadi kibao uongo mtupu.
Wameru achaneni na wagombea wanaishi dsm wanakuja huko kuwarubuni then wanarudi zao dsm.
Haya matatu yanatosha kabisa kuwawajibisha ccm katika uchaguzi huu.
Naomba kuwasilisha