Arumeru madhariki: Toka 1995 mpaka sasa

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Wadau, kama sehemu ya maandalizi ya kampeni za uchaguzi mdogo uko Arumeru Mashariki, katika kuhakikisha kwamba CCM wanaangukia pua naomba mwenye data zifuatazo amwage apa ili kuwafeed makamanda watakaoelekea huko.
1. Ahadi alizoa Ben Mkapa kwa wana Arumeru alipogombea Urais mwaka 1995
2. Ahadi alizorudia na ahadi mpya alizotoa tena kwenye uchaguzi wa mwaka 2000
3. Ahadi alizotoa Father Chrismas kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2005 na
4. Ahadi alizorudia na ahadi mpya alizotoa tena Father Chrismas Kwenye Uchaguzi Mkuu Mwaka 2010.

Matumizi ya Taarifa hizi.
WanaArumeru Mashariki waelezwe na kukumbushwa kwamba
1. Father Chrismas hawezi na hatakwenda kwenye Kampeni hizo sababu anajua wana Arumeru Mashariki bado
wanazikumbuka hivyo anaogopa kwenda kuharibu kampeni zao sababu wanachokitaka wao ni ushindi tu hawana nia
ya kutekeleza Jambo lolote la maendeleo ya dhadi zaidi ya miradi

2. Na kwamba wameamua kumpeleka Mkapa sababu wanawadharau wana Arumeru kwamba hawana uwezo wa kutunza
kumbu kumbu za muda mrefu na hivyo watamsikiliza Mkapa sababu wameisha sahau ahadi zake za uongo alizozitoa
mwaka 1995 na 2000

Nawatakia kila baya CCM
 
Back
Top Bottom