Arsenal vs Man city

Mtamile

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
2,838
1,267
Kesho ndo kesho ni kivumbi kikali kati ya Arsenal(the gunners) na matajiri wa jiji la manchester (manchester city) unafikiri hii mechi itaishaje?
 
Kawaulize Man U ndio wanaijua shughuli ya Man City

hyo inaitwa patashika nguo kuchanika man city watataka kupunguza gap kati na man u wakati the gunnerz watataka wabakie nafasi ya tatu kazi ipo hapo
 
mimi ni man utd kama unavyoniona ktk avatar,lakini kesho mashabiki wa arsenal nipo nyuma yenu!funga city
 
mimi ni man utd kama unavyoniona ktk avatar,lakini kesho mashabiki wa arsenal nipo nyuma yenu!funga city

sijawahi kuona mshabiki wa united akawa nyuma ya gunners ila kwa sababu sasa hivi mnafukuzia ubingwa na mnafukuzana na man city najua united wote leo mtakuwa the gunners tafadhafali sana mnaombwa muendelee kuisapoti the gunners hata baada ya mechi ya leo
 
Go Arsenal Go gunners...
 
Shikeni adabu zenu man city,asernal sio saizi yenu,yenu leo mumetepeta mbaya.nasri,aguero,toure hawajaonekana!balaaaaa!
 
Back
Top Bottom