Arsenal Vs Man City: Live From The Emirates

Mike Dean anajulikana na leo ameharibu huu mchezo.

Angeweza kumpa Koscielny kadi ya njano na kuendelea na mpira.
 
kuna fact zinasema katika game 16 alizochezesha aseno imefungwa 8 na upande wa city kafungwa 2 ngoja tuone..

Mi nakwambia huyo refa na Arsenal ni mbalimbali sana,faulu za upande wa Arsenal wanazofanyiwa ni ngumu kuziona.lakini za upande wa pili yuko macho kweli,na kama Arsenal wasipokuwa makini wataloweshwa goli nyingi sana kwenye mechi hii!!!!!
 
http://www.guardian.co.uk/football/...anchester-city#block-50f2e215b579240893bf4dfa 34 min: Dzeko will be a little relieved about that, after his penalty miss. It was probably Gibbs' fault, he missed a tackle as Zabaleta and Milner combined up the right wing. The keeper was unlucky, really, it would have been some save to keep hold of the ball then and, really, all he could do was parry it. Dzeko couldn't miss (which admittedly, hasn't stopped him in the past).
 
Back
Top Bottom