Umeanza kuangalia EPL mwaka huu .... ..... na uchabiki koko wako ...Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Itakuwa poa tu hakunaga maloloso.
Halafu wewe utakuwa wapi? Wacha ngebe! Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Summer imeanza mapema huku Alaska .... .... ..... ..
Arsenal wangecheza hivi tangu mwanzo wa msimu nadhani hivi sasa wangekuwa mabingwa.
Kweli mkuu.Chifu, si kawaida yenu?
Sagna sijui nimpe neno gani tuu!!! But ile ni very stupid play of all tym!!!